Bilionea Zuckerberg katika Maandalizi ya Nuclear Armageddon

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,699
Reaction score
6,206
Points
113
Mark Zuckerberg ambaye amenaza ujenzi (a mega project) wa nyumba au makazi ya ardhini a.k.a maandaki maalum (underground bunkers) kwa ajili ya kujikinga na madhara pamoja na uaribifu mkubwa hata ule unaweza kusababishwa na silaha za maangamizi za nyuklia.

Ujenzi wa mabangaloo hayo yalio ardhini unafanyika katika visiwa vya Hawaii.

Kulingana na maelezo ya jarida maarufu la Business insider, majumba hayo yenye ukubwa wa zipatazo mita za mraba 500 kila moja, unasemekana yataunganishwa.

Kila jumba lina maktba kubwa za siri, ambazo zimesheni vitabu mbali mbali, mifumo ya maji safi, vyanzo vya nishati ambayo ni renewable na maghala ya chakula.

Pia kila jumba lina takribani vyumba vya kulala 30 na mabafu 30 , yaani self contained rooms.



IMG_20231216_194331.jpg
 
Hii nyumba inaweza kubeba watu wangapi?
 

Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
659
Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha; Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa Katika maisha...
Replies
12
Views
392
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) ni teknolojia inayokuwa kwa kasi duniani huku ikianza kukita mizizi katika uzalishaji wa muziki kwa wanamuziki wa nchi za Magharibi. Kupitia teknolojia ya AI mtu anaweza kuomba atungiwe mashairi kuhusiana na mada husika na kuiamrisha kompyuta kusuka mdundo na...
Replies
4
Views
302
Wakuu nafanya iwe fupii ili tuende pamoja... Biblia inaeleza habari za kupanda na kuvuna, chochote anacho panda mtu ndicho anacho vuna, ilo hata wewe unalijua( well done)... Kuhusu MASKINI Biblia inaeleza tena kuwa, watu wanapewa mali na Mungu ili wasaidie wengine ili umasikini uwe...
Replies
6
Views
164
Back
Top