hama boma kama wazee wetu

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
babu zetu wake zao hawakuwasumbua,walipoanza zimaneno walihama nyumba tu wahamia nyumba ya mke wa pili,ujazaliwa na mwanamke yanini akupe stress??
wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya stress zinazotoka kwa wqanawake,sasa nakuambia usipate stress kutoka kwa mwanamke akikushinda achana naye ujazaliwa naye mbususa zipo nyingi
kwenye familia nyingi hapa bongo ukimuuliza mtoto baba yako yuko wapi majibu kashakufa,yani idadi ya wanaume kufa ni nyingi sana kwa sababu ya wanawake,sasa maisha yakupe stress pia mwanamke??
maisha mafupi sasa hivi nimeona bora nile bata mwanamke akijipendekeza nakula napita hivi sitaki kuweka kambi kwenye murtiple relation
 
Mwanamume anayehamia nyumba kisa mwanamke bado mwoga hama maamuzi
wewe endelea kuwa jasiri mauti yatakukuta hapo wazee wetu walikuwa na wake zaidi ya wawili nami nataka niwe na wake wa 3
 

Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
659
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL), yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Tanzania, ilizindua Skyleader 600 kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania jijini Dar es Salaam. Ndege hizi ni za gharama nafuu,zinatumia mafuta kwa uchache, na gharama za matengenezo ni nafuu...
Replies
11
Views
433
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
294
Back
Top