Hodi

Similar threads

Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada. Mungu ni wetu sote!
Replies
14
Views
466
hodi hodi naingia, kijijini nimefika nimekuja tembelea, karibisho nalitaka kijiji kinavutia, nimepapenda hakika kijiji kipya kizuri, @Hakimu ututunzie
Replies
11
Views
272
Back
Top