Hodi Wanakijiji

Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada.
Mungu ni wetu sote!
 
Pole sana Ommy, ilikuwaje?
Sijakuona hapa wala kule jijini, kumbe ulikuwa unaumwa
 
Similar threads

Habarii Jina Mbee Jinsia Mwanaume Umri chini ya 30 Kazi fundi simu Alie nikaribisha kaniambia nisiandike jina la kweli. Nawapenda sana
Replies
34
Views
917
hodi hodi naingia, kijijini nimefika nimekuja tembelea, karibisho nalitaka kijiji kinavutia, nimepapenda hakika kijiji kipya kizuri, @Hakimu ututunzie
Replies
11
Views
270
May the magic of Christmas gladden your heart with the joys of the season. May the spirit of Christmas bless you with greater strength. May the promise of Christmas bring you and yours endless blessings. Merry Christmas to you all.. Kwa wale ambao mko kwenye changamoto mbalimbali Mungu...
Replies
77
Views
961
Back
Top