Huyu mtoto alitolewaje hapa?

Kwanza anakula stick kama zote ndio anatolewa....Nimeshangaa sana aliingia Je!? 🤣🤣🤣 utoto bana taabu tupu...

Nakumbuka zamani niliwahi kunasa kwenye stuli ya miguu minne niliigeza juu chini kisha nikaingia na kukaa nikiwa nimenyoosha miguu yangu 🤣🤣🤣 kimbembe kwenye kutoka aah! Niliangua kilio balaa ila mama akawa anasema ukome na ukaa hapo siku nzima 🤣🤣🤣 nilipata shida sana siku hiyo 🤣🤣🤣🤣
 
we jamaa ukubwa wa maadui ulianza kitambo sana
 
Kwanza anakula stick kama zote ndio anatolewa....Nimeshangaa sana aliingia Je!? 🤣🤣🤣 utoto bana taabu tupu...

Nakumbuka zamani niliwahi kunasa kwenye stuli ya miguu minne niliigeza juu chini kisha nikaingia na kukaa nikiwa nimenyoosha miguu yangu 🤣🤣🤣 kimbembe kwenye kutoka aah! Niliangua kilio balaa ila mama akawa anasema ukome na ukaa hapo siku nzima 🤣🤣🤣 nilipata shida sana siku hiyo 🤣🤣🤣🤣
Hii ilinikuta piaaa😂😂😂😂nishawai kuingiza kichwa kwenye ile nafasi ya nondo za dirishani ili nichungulie nje😀😀😀😀 aiseeh kichwa kiliingia fresh ila kutoka ahaahahhh wakaniambia leo tutakata hayo masikio ili utoke👐👐👐
 
Similar threads

Sijui anaitwa nani ila siku hizi naona anatrend sana kwenye status za watu , stickers nk halafu jamaa comedy zake haongei na code zake za mavazi zilezile.
Replies
6
Views
214
Baba mmoja alikuwa na mabinti Sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je, baba huyu alikuwa na watoto wangapi?
Replies
3
Views
269
  • Article Article
MWANZO Huu ni mkasa wangu ulionikuta baada ya kuhamishwa kutoka kigoma to dar es salaam early 2004s Baada ya kumaliza kazi zangu za kila siku ni kawaida yangu kutembelea kijiwe kwaajili ya kupata mawili matatu kutoka kwa watu mbalimbali wa rika tofauti lengo ni kutokua mpweke pia ku refresh...
Replies
60
Views
2K
Mwanamke pichani anataka kujiua kwa sababu mumewe anataka waachane kaparta mke mwingine. Je katika wanaume wanne yupi pichani yupi ni mumewe?
Replies
14
Views
339
Wanakijiji amani ya Mungu iwe nanyi Naomba msaada kwa ajili ya mtoto huyu wa mjomba. Kwanza mjomba alizaa na mwanamke wa kichagaa wakaachana sababu sifahamu kwani nilikua mdogo kiasi. Sasa baadae mjomba akaja kuoa mwanamke mwingine wa kichaga ambae yupo bae mpaka sasa. Msaada ninao taka kutoka...
Replies
12
Views
312

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top