Je kujichua ni dhambi?

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,617
Reaction score
26,430
Points
113
Wasalaam

Katika dunia ya leo imekuwa kawaida sana kwa wanaume na wanawake kujichukulia sheria mkononi. Wengine wanaenda mbali zaidi kutumia vitendea kazi katika kufanikisha hili. Naposema vitendea kazi namaanisha vitu mfano sabuni, mafuta, tango, mate nk.

Swali langu la msingi: Je kujichua ni dhambi? Hili swali ni kwa watu wa dini zote.
 
kujichua sio dhambi.... ni kawaida kwa wanyama wote aina ya mamalia
kigezo cha kufanya wote aiondoi kua ni dhambi... nisawa na bunge wapige kura zote za ndio kuruhusu utoa mimba alafu useme sio dhambi coz bunge lote limekubali... hakuna cha wengi wape inapokua suala la dhambi
 
kigezo cha kufanya wote aiondoi kua ni dhambi... nisawa na bunge wapige kura zote za ndio kuruhusu utoa mimba alafu useme sio dhambi coz bunge lote limekubali... hakuna cha wengi wape inapokua suala la dhambi
Kanisa katoliki linaamini kufanya hivi ji dhambi
1. Masterbating
2. Using contraceptive
3. Sex other than vaginally
4 Sex out of marriage
5 Sex while not married
6 threesome or orgies
7 Ome gender sex
8 Oral sex of any kind
9 Fantansies
10 Sex with toys or animals


need I say more.
 
Kanisa katoliki linaamini kufanya hivi ji dhambi
1. Masterbating
2. Using contraceptive
3. Sex other than vaginally
4 Sex out of marriage
5 Sex while not married
6 threesome or orgies
7 Ome gender sex
8 Oral sex of any kind
9 Fantansies
10 Sex with toys or animals


need I say more.
we need to push towards an atheist society
 

Similar threads

Wakuu nawasalimu mara tatu... Ikitokea shetani amekufa leo utaacha kufanya dhambi? Watu wengi wamekua wakimsingizia shetani kila kitu, ila ukweli ni kwamba hata shetani akifa leo bado kuna wakuu wataichukua ile nafasi ya shetani. vp unahisi utakua mtu safi kama shetani atakufa au kuondolewa...
Replies
35
Views
779
Imani bila matendo imekufa, habari! huo ulikuwa ukaribisho wa mada ya leo Wokovu ikiwa umeokoka na unatamani yale ya dunia basi umandhalilisha Mungu, wokovu wa kweli ni kumkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi wa mwaisha yako nakuziacha njia zako mbaya na kuubeba masalaba wako kuifuata ile njia...
Replies
7
Views
460
Karibu utoe mtazamo wako kuhusu pombe, Kibinafsi pombe ni dhambi na inamadhara makubwa kwa wanywaji na wale wasio wanywaji....
Replies
29
Views
582
Adhabu kuhusiana na tabia za ushoga Kuna baadhi ya wasomi wanasema dhambi ya Sodoma na Gomora ilikuwa ni kwa sababu ya matendo ya Kishoga. Mungu akatuma wageni kwa Lutu. Ila sasa watu kwa tamaa kuona malaika wale ni wazuri wakataka kulala nao. Kwa nini? Kwa nini? Kwa sababu walifika nyumbani...
Replies
21
Views
318
Leo tu alijipitisha mdudu sikumpenda nikamkanyanga na kumsambaratisha, baada ya hapo nikasema wewe lazima ulikuwa ni mzee maana isingelikuwa hivyo basi ungeishi, pia nikawaza kuwa hakujua kuwa ndio mwisho wake Nikafikiri pia kuua wanyama wengine kiukatili ni dhambi?
Replies
14
Views
347

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top