Je ni kweli kwamba ukimwoa mwanamke umeoa familia yake yote?

Unajua huu msemo unakuja pale only when familia nzima inakutegemea wewe

Kuna family nyingine ukioa familia nzima wanakuja kwako wewe bwana shemeji unasomesha, unalisha familia na bado walale kwako
 
sina hata mpenzi kwa sasa...
Angalia sana familia ya kuoa. Kuna familia hata wakwe hawana heshima wala kujua mipaka
Uchagani huwezi ona mwanamke akaenda kulala kwao labda pawe mbali na kurudi. Ukishaoza mwanao aende akalale na familia yake.

Uchagani ni ngumu kuona mwanaume anaenda kulala alipoolewa dada yake yani kwa shemeji yake . Ni mwiko kabisa.

Ila huku uswahilini naona purukushani hakuna maadili wala tabia njema. Ila na hili ni la msingi tafuta mwanamke mwenye akili nyingi sana ( wazuri wengi akili ni ndogo 🤣)
 
Angalia sana familia ya kuoa. Kuna familia hata wakwe hawana heshima wala kujua mipaka
Uchagani huwezi ona mwanamke akaenda kulala kwao labda pawe mbali na kurudi. Ukishaoza mwanao aende akalale na familia yake.

Uchagani ni ngumu kuona mwanaume anaenda kulala alipoolewa dada yake yani kwa shemeji yake . Ni mwiko kabisa.

Ila huku uswahilini naona purukushani hakuna maadili wala tabia njema. Ila na hili ni la msingi tafuta mwanamke mwenye akili nyingi sana ( wazuri wengi akili ni ndogo 🤣)
sasa yeye yuko mbeya mm niko Arusha hao wazazi ntawajuaje
 
@Kondeni0112 @Hakimu na wengine msio na mademu humu kuna jukwaa la dating fanyeni mpost kuwa mnataka wachumba
 
hii kitu mi kweli japo kwa uchache hasa unaemuoa akiwa hayuko vizuri kiuchumi yeye na familia yake
aisee, kwahyo unataka kusema vetting ikifanyika vizuri kunao watakosa kuolewa kwasababu ya hali ya uchumi wa familia yao?
 
yani umpate mke mwema ndani ya Fake ID?
Mbona tunajuana humu ndani hat Jf tatizo lako hujataka kufahamiana na mtu. Kama nilivyo kutambulisha kwa wenzako wa mbinga

Huwa mkuona ID fake mnafikiri hatujuani? hujataka kuwa na rafiki tu

mfano @D'UsséV$OP Cognac nimesoma nae class moja kwa miaka miwili.
 

Similar threads

Wakuu kwema! Nimewamiss, sasa leo nimekuja na hii story ya jamaangu mmoja yeye ni fundi tv. Huyu mwamba ni mtu safi ila tamaa ndio imemzidi, alikua anafanyakazi na mwenzake ofisi moja ila baadae wakashindwana kwahiyo kila mtu ikabidi awe na ofisi yake.. Yeye alipata bahati ya kukaa kwenye ofisi...
Replies
8
Views
119
Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
Replies
22
Views
734
  • Article Article
MWANZO Huu ni mkasa wangu ulionikuta baada ya kuhamishwa kutoka kigoma to dar es salaam early 2004s Baada ya kumaliza kazi zangu za kila siku ni kawaida yangu kutembelea kijiwe kwaajili ya kupata mawili matatu kutoka kwa watu mbalimbali wa rika tofauti lengo ni kutokua mpweke pia ku refresh...
Replies
60
Views
2K
habari zenu ndugu zangu nilipoteza simu toka week iliyopita,nikawaza kijiji itaendeleaje bila president sasa nimerudi mtandaoni tena
Replies
8
Views
400
Je ni kweli Paka/nyau anayo roho saba? Watu wengi wamekua wakisema kuwa paka wanaroho saba na hata kufa kwao nikwambine sanaa... Umesha sikia kauli "unaroho ngumu kama ya paka" Kuna siri gani kuhusiana na paka, maana nmeshasikia stori nyingi kama paka alizikwa akiwa hai baada ya mda akaonekana...
Replies
20
Views
953

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top