Je ni kweli kwamba ukimwoa mwanamke umeoa familia yake yote?

the more you know someone the higher the risk, sijui nliisomaga wapi... kwa mm hapa kutojuana naona ndio safi maana naandika tu siwazi mtu
haha wewe sasa
Hakuna risk yeyote this is family or social oriented hatuna mambo ya siasa wala kutukana watu we have nothing to hide
 
Mbona tunajuana humu ndani hat KF tatizo lako hujataka kufahamiana na mtu. Kama nilivyo kutambulisha kwa wenzako wa mbinga

Huwa mkuona ID fake mnafikiri hatujuani? hujataka kuwa na rafiki tu

mfano @D'UsséV$OP Cognac nimesoma nae class moja kwa miaka miwili.
wa Mbinga ni mimi aisee kwenye kilimo cha Mahindi huku
 
Hio ni kweli kabisa kuweni makini na hizi familia mnazoenda kuweka kambi.

Maana kuna vitu vingi vimo humo ukienda unaenda tu kufungamana nao jiulize kwann

Mfano: familia A inaweza kuwa tajiri kupindukia ukiwa na mahusiano na huyo binti tiyari na ww unaanza kuimarika kiuchumi kabla hata ya ndoa.

And vice versa is true hata kwenye baraka na laana au vifungo ni hivyo hivyo tu.
 
Hio ni kweli kabisa kuweni makini na hizi familia mnazoenda kuweka kambi.

Maana kuna vitu vingi vimo humo ukienda unaenda tu kufungamana nao jiulize kwann

Mfano: familia A inaweza kuwa tajiri kupindukia ukiwa na mahusiano na huyo binti tiyari na ww unaanza kuimarika kiuchumi kabla hata ya ndoa.

And vice versa is true hata kwenye baraka na laana au vifungo ni hivyo hivyo tu.
ushauri mzuri
 

Similar threads

Wakuu kwema! Nimewamiss, sasa leo nimekuja na hii story ya jamaangu mmoja yeye ni fundi tv. Huyu mwamba ni mtu safi ila tamaa ndio imemzidi, alikua anafanyakazi na mwenzake ofisi moja ila baadae wakashindwana kwahiyo kila mtu ikabidi awe na ofisi yake.. Yeye alipata bahati ya kukaa kwenye ofisi...
Replies
8
Views
119
Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
Replies
22
Views
734
  • Article Article
MWANZO Huu ni mkasa wangu ulionikuta baada ya kuhamishwa kutoka kigoma to dar es salaam early 2004s Baada ya kumaliza kazi zangu za kila siku ni kawaida yangu kutembelea kijiwe kwaajili ya kupata mawili matatu kutoka kwa watu mbalimbali wa rika tofauti lengo ni kutokua mpweke pia ku refresh...
Replies
60
Views
2K
habari zenu ndugu zangu nilipoteza simu toka week iliyopita,nikawaza kijiji itaendeleaje bila president sasa nimerudi mtandaoni tena
Replies
8
Views
400
Je ni kweli Paka/nyau anayo roho saba? Watu wengi wamekua wakisema kuwa paka wanaroho saba na hata kufa kwao nikwambine sanaa... Umesha sikia kauli "unaroho ngumu kama ya paka" Kuna siri gani kuhusiana na paka, maana nmeshasikia stori nyingi kama paka alizikwa akiwa hai baada ya mda akaonekana...
Replies
20
Views
953

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top