Je pombe ni dhambi?

Pombe ina madhara na ina faida, kikubwa usinywe kupitiliza,
Kunywa pombe sio dhambi bali ni jambo linalochochea utendaji wa dhambi pale mtu atakapokunywa kiwango atakachoshindwa kuidhibiti isimuendeshe.
 
Pombe ni haramu na si haramu. Huwa naamini kunywa pombe ukalewa ni haramu. Ikizidi inakupelekea kufanya mambo ambayo hayampendezi Mungu. Ukinywa kiasi ni burudani. Waliookoka wanaamini pombe ni dhambi haifai hata kugusa chupa ya pombe

Ukila ukashiba ukavimbiwa ni dhambi pia
Ukitamani mwanamke au kitu cha mtu ni dhambi
Ukijsifu kuwa unaweza fanya jambo fulani au ni mahiri sana ni dhambi
Ukiona chakula ukatamani napo ni dhambi
 
Pombe ni haramu na si haramu. Huwa naamini kunywa pombe ukalewa ni haramu. Ikizidi inakupelekea kufanya mambo ambayo hayampendezi Mungu. Ukinywa kiasi ni burudani. Waliookoka wanaamini pombe ni dhambi haifai hata kugusa chupa ya pombe

Ukila ukashiba ukavimbiwa ni dhambi pia
Ukitamani mwanamke au kitu cha mtu ni dhambi
Ukijsifu kuwa unaweza fanya jambo fulani au ni mahiri sana ni dhambi
Ukiona chakula ukatamani napo ni dhambia
Maneno ya kujifariji haya

Pombe ni haramu, hayo ya kula kupitiliza hayapendezi kwa mungu na kwa mwanadamu lkn effect ya pombe ni kubwa,
Mfano ajali kwa wanaendesha, kuwapa watu karaha wale wanaotapika na kwenda toilet mikojo harufu mbaya, kusema maneno ya hovyo, kubugudhi familia n.k
 
Hah hujawahi kunyw hata wine?
 
@@@Si dhambi kunywa kileo kwa kiasi. Biblia inasema kwamba divai ni zawadi kutoka kwa Mungu ambayo inaweza kufanya maisha yafurahishe. (Zaburi 104:14, 15; Mhubiri 3:13; 9:7) Pia, Biblia inaeleza kwamba divai ina faida za kitiba.—1 Timotheo 5:23.

****Yesu alikunywa divai alipokuwa duniani. (Mathayo 26:29; Luka 7:34) Katika mojawapo ya miujiza yake inayojulikana sana, Yesu aligeuza maji kuwa divai katika karamu ya arusi.—Yohana 2:1-10.

****Hatari za kunywa kupita kiasi
Ingawa Biblia inataja mambo yanayofaa kuhusu divai, inashutumu kunywa kupita kiasi na ulevi. Hivyo, Mkristo anapoamua kunywa kileo anapaswa kufanya hivyo kwa kiasi. (1 Timotheo 3:8; Tito 2:2, 3) Biblia inatupatia sababu kadhaa za kuepuka

***** kunywa kupita kiasi.
Kunaathiri uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi. (Methali 23:29-35) Mtu aliyelewa hawezi kutimiza amri ya Biblia inayosema “mtoe miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, yenye kukubalika kwa Mungu, utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zenu za kufikiri.”—Waroma 12:1.

*****Kunywa kupita kiasi kunamfanya mtu ashindwe kujizuia na ‘kunaondoa kusudi jema.’—Hosea 4:11; Waefeso 5:18.

Kunaweza kumfanya mtu awe maskini na kupata matatizo makubwa ya afya.—Methali 23:21, 31, 32.

Kunywa sana na ulevi humchukiza Mungu.—Methali 23:20; Wagalatia 5:19-21.

*****Ni kiasi gani kinachopita kiasi?
Iwapo mtu anajihatarisha au kuwahatarisha wengine, basi inaweza kusemwa kuwa amekunywa kileo kupita kiasi. Kulingana na Biblia, ulevi haufafanuliwi kuwa kupoteza fahamu tu, bali mtu anaweza kusemwa kuwa amelewa anapoonyesha amechanganyikiwa, akianza kutembea akiyumbayumba, akianza kuwa mbishi, au akizungumza kwa njia isiyoeleweka. (Ayubu 12:25; Zaburi 107:27; Methali 23:29, 30, 33) Hata wale wanaoepuka kulewa wanaweza ‘kulemewa na kunywa sana’ na kupatwa na madhara makubwa.—Luka

****Kuepuka kabisa
Biblia inaonyesha pindi ambazo Wakristo wanapaswa kuepuka kabisa kunywa kileo:

Ikiwa wengine watakwazika.—Waroma 14:21.

Ikiwa kunywa kileo kunavunja sheria za nchi.—Waroma 13:1.

Ikiwa mtu hawezi kujidhibiti. Watu ambao ni waraibu wa kileo na wanaotumia kileo vibaya katika njia nyingine wanapaswa kuwa tayari kuchukua hatua thabiti ya kukomesha tatizo lao.—Mathayo 5:29, 30.
 
Soma hii mistari ya Biblia
Luka 22:18
Isaya 25:6
Marko 14:25
Yohana 2: 6 - 11
Mbinguni kuna karamu watu watakunywa mvinyo na kusaza chakula.
Luka 22:18
Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hata ufalme wa Mungu utakapokuja.

Kwanza kabisa unatakiwa ujue, hakuna kula wala kunywa mbinguni .,,,
Alikua anaongelea habari za ufalme wa Mungu kufika hapa duniani (yaani baada ya kifo na ufufuko wake)

Pili mstari huu wabibilia auongelei kuhusu pombe, siku kuu hii ya pasaka ilikua kwaajili ya mikate isio tiwa chachu (yaani fresh) na mzabibu ilikua fresh soma mwanza kabsa wa hiyo sura
Luka 22:1
Ikakaribia sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo Sikukuu ya Pasaka..

Biblia inaeleza nuru na giza haviwezi kukaa pamoja Yesu ni nuru, hawezi fanya mambo ya giza na ya nuru at the same time,,,

Biblia inaeleza wazi kabsa ulevi na ufalme wa Mungu haviendani.. somaa👇

Wagalatia 5:21
husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Last edited:
@@@Si dhambi kunywa kileo kwa kiasi. Biblia inasema kwamba divai ni zawadi kutoka kwa Mungu ambayo inaweza kufanya maisha yafurahishe. (Zaburi 104:14, 15; Mhubiri 3:13; 9:7) Pia, Biblia inaeleza kwamba divai ina faida za kitiba.—1 Timotheo 5:23.

****Yesu alikunywa divai alipokuwa duniani. (Mathayo 26:29; Luka 7:34) Katika mojawapo ya miujiza yake inayojulikana sana, Yesu aligeuza maji kuwa divai katika karamu ya arusi.—Yohana 2:1-10.

****Hatari za kunywa kupita kiasi
Ingawa Biblia inataja mambo yanayofaa kuhusu divai, inashutumu kunywa kupita kiasi na ulevi. Hivyo, Mkristo anapoamua kunywa kileo anapaswa kufanya hivyo kwa kiasi. (1 Timotheo 3:8; Tito 2:2, 3) Biblia inatupatia sababu kadhaa za kuepuka

***** kunywa kupita kiasi.
Kunaathiri uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi. (Methali 23:29-35) Mtu aliyelewa hawezi kutimiza amri ya Biblia inayosema “mtoe miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, yenye kukubalika kwa Mungu, utumishi mtakatifu pamoja na nguvu zenu za kufikiri.”—Waroma 12:1.

*****Kunywa kupita kiasi kunamfanya mtu ashindwe kujizuia na ‘kunaondoa kusudi jema.’—Hosea 4:11; Waefeso 5:18.

Kunaweza kumfanya mtu awe maskini na kupata matatizo makubwa ya afya.—Methali 23:21, 31, 32.

Kunywa sana na ulevi humchukiza Mungu.—Methali 23:20; Wagalatia 5:19-21.

*****Ni kiasi gani kinachopita kiasi?
Iwapo mtu anajihatarisha au kuwahatarisha wengine, basi inaweza kusemwa kuwa amekunywa kileo kupita kiasi. Kulingana na Biblia, ulevi haufafanuliwi kuwa kupoteza fahamu tu, bali mtu anaweza kusemwa kuwa amelewa anapoonyesha amechanganyikiwa, akianza kutembea akiyumbayumba, akianza kuwa mbishi, au akizungumza kwa njia isiyoeleweka. (Ayubu 12:25; Zaburi 107:27; Methali 23:29, 30, 33) Hata wale wanaoepuka kulewa wanaweza ‘kulemewa na kunywa sana’ na kupatwa na madhara makubwa.—Luka

****Kuepuka kabisa
Biblia inaonyesha pindi ambazo Wakristo wanapaswa kuepuka kabisa kunywa kileo:

Ikiwa wengine watakwazika.—Waroma 14:21.

Ikiwa kunywa kileo kunavunja sheria za nchi.—Waroma 13:1.

Ikiwa mtu hawezi kujidhibiti. Watu ambao ni waraibu wa kileo na wanaotumia kileo vibaya katika njia nyingine wanapaswa kuwa tayari kuchukua hatua thabiti ya kukomesha tatizo lao.—Mathayo 5:29, 30.
kunywa kwa kiasi " kiasi ni vikombe vingapi?"
 
Acha kuchafua vitu vya msingi Sibitisha kuwa kumwagilia moyo ni dhambi Mbona divai inalewesha
 
Acha kuchafua vitu vya msingi Sibitisha kuwa kumwagilia moyo ni dhambi Mbona divai inalewesha
Mithali 15:32
Anayekataa kufundishwa anajidharau mwenyewe, bali anayekubali maonyo hupata busara. (BHN)

Watu wengi wamekua wakiambiwa hili alifai nakwa tamaa zao wenyewe wakaona vinafaa tena vina pendeza, mfano mzuri soma hapa👇👇

Mwanzo 2:16
16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Wakuu wamepewa onyo👆
ila wao kwa tamaa yao wakaona matunda ya mti wa katkt mwa bustan yana tamanisha tena yana vutia na yana faa mno wakala unajua kilicho tokea baada ya hapo, ndio hvo kwa pombe mmetahadharishwa ila mnaona yafaa sana...

Mwanzo 3:6
6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.
 
Acha kuchafua vitu vya msingi Sibitisha kuwa kumwagilia moyo ni dhambi Mbona divai inalewesha
1 Wakorintho 10:31
Basi, mlapo, au mnywapo, au mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.

Jiulize pombe unayokunywa ni kwaajili.ya utukufu wa Mungu, matokeo ya ulevi ni kwaajili ya utukufu wa Mungu?
 
Acha kuchafua vitu vya msingi Sibitisha kuwa kumwagilia moyo ni dhambi Mbona divai inalewesha
Bibilia inasema tusilewe kwa pombe maana ina ufisadi ndani yake bali tujazwe roho

Waefeso 5:18
Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
 
Fungueni mistari mbalimbali ya biblia , leteni masahafu , mimi niseme tu sijui ni dhambi au sio dhambi ila itoshe kusema mwenzeni kuiacha nimeshindwa .

Najinasibu ooh sasa naacha kila nikiwa naumwa ila nikipata nafuu basi kuna kengele inalia kichwani kuwa kuna jambo halijatimia

Karibuni tuenjoy jama , maisha ni haya haya wote tutakufa

Hatunywi Sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa mbele.
 
Similar threads

Katika moja na mbili Jumamosi usiku mwingi sana chimbo flani la walesa mavi, kula vombo kula vombo kula vombo mpaka natambaa, kudadeki wasela mavi wakasepa na kisimu changu cha kutambia mjini pumbavu zao. Nililia kisenge! Silewi tena.
Replies
95
Views
1K
Wakuu nawasalimu mara tatu... Ikitokea shetani amekufa leo utaacha kufanya dhambi? Watu wengi wamekua wakimsingizia shetani kila kitu, ila ukweli ni kwamba hata shetani akifa leo bado kuna wakuu wataichukua ile nafasi ya shetani. vp unahisi utakua mtu safi kama shetani atakufa au kuondolewa...
Replies
35
Views
779
Imani bila matendo imekufa, habari! huo ulikuwa ukaribisho wa mada ya leo Wokovu ikiwa umeokoka na unatamani yale ya dunia basi umandhalilisha Mungu, wokovu wa kweli ni kumkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi wa mwaisha yako nakuziacha njia zako mbaya na kuubeba masalaba wako kuifuata ile njia...
Replies
7
Views
460
Adhabu kuhusiana na tabia za ushoga Kuna baadhi ya wasomi wanasema dhambi ya Sodoma na Gomora ilikuwa ni kwa sababu ya matendo ya Kishoga. Mungu akatuma wageni kwa Lutu. Ila sasa watu kwa tamaa kuona malaika wale ni wazuri wakataka kulala nao. Kwa nini? Kwa nini? Kwa sababu walifika nyumbani...
Replies
21
Views
318
Leo tu alijipitisha mdudu sikumpenda nikamkanyanga na kumsambaratisha, baada ya hapo nikasema wewe lazima ulikuwa ni mzee maana isingelikuwa hivyo basi ungeishi, pia nikawaza kuwa hakujua kuwa ndio mwisho wake Nikafikiri pia kuua wanyama wengine kiukatili ni dhambi?
Replies
14
Views
347
Back
Top