Je unacho kitu cha kumshukuru Mungu kwenye maisha yako?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada.

Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo?

Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako?

Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru......

Yesu alipoinua ile mikate 5 na samaki wawili, hakulalamika, bali alishukuru.

Mshukuru Mungu, hata kwa mambo ambayo yanaonekana kuwa hayatoshi.

Unapoendelea na mambo yako, anza kuona miujiza na baraka zote zinazokuzunguka!

Je Unashukuru kwa nini leo?
 
Mambo ni mengi sana
 
Namshukuru Mungu kwa familia yangu. Mungu aendeelee kiwasimania wakue vyema na marafiki zao wawe wema. .
 
Similar threads

Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Ukitembea na kuzungumza na vijana wengi wa sasa wanakuambia ukiwa na pesa ‘utang’oa’ demu wa aina yeyote, kwa sababu huwa hawana ujanja panapo mapesa. Na hili linadhihirishwa na wengi wanapobadili wanawake kwa sababu ya uwezo wao wa kifedha. Na hata wanawake wenyewe nao wanaonekana kuhamasika...
Replies
18
Views
382
kitu gani umekaa nacho mda mrefu kuliko kawaida, kiatu, nguo, simu, saa, notebook, mkanda, meza, shuka, mto, cheni, miwani, radio, kata kucha,... mimi kuna mkanda nmeuvaa kwanzia form one mpaka leo upo nimeuona leo nmeusikitikia sana...
Replies
23
Views
514
  • Sticky
KITU NACHOTAKA BABA NINAHITAJI KUSOMA Hodi hodi naingia, baba bora umekuja kuna jambo kukwambia, nisikize mara moja shairi nakusomea, sikiliza zangu hoja kitu nachotaka baba, ninahitaji kusoma wala 'sinipe kibaba, na shamba la kulima eti unipe mbaba, na ndoa ya mapema so niishie la saba...
Replies
18
Views
306
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K
Back
Top