Katika uzee wako utafananaje?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Uzee ni uhalisia na hauepukiki , huwa hatma ya kila mtu. Hali hii huwa inakaribia hatua ya mwisho ya maisha ya binadamu, lakini mwanasayansi wa maumbile David Sinclair anakanusha mtazamo huo.

Kwa mujibu wa utafiti ambao umefanywa zaidi ya miongo miwili, anasema kuwa kuna uwezekano wa kuzuia mtu kuzeeka mapema, kwa kuzingatia mambo kadhaa ili kuweza kumfanya mtu kuwa na afya njema kwa muda mrefu.

Mwanasayansi huyo anaamini kuwa ni lazima tubadili mitazamo yetu ya jinsi tunavyofikiri kuhusu umri: badala ya kuona kuwa ni mchakato wa kawaida tu na kuwa ni jambo asilia, tunapaswa kuona kuwa huo ni ugonjwa ambao unaweza kutibiwa na ukapona.


Unahisi utafananaje pale utakapofikia uzee wako? wengine hukosa meno, wengine hupata uwaraza, wengine hukosa uwezo wa kutembea nk

Uzee wangu nahisi nitakosa meno, napenda kula nyama hata nikikosa meno bado nitakula nyama tu.desktop-wallpaper-result-for-toothless-old-man-smiling-funny-faces-old-people-thumbnail.jpg
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Safi sasa ni muda wa kutafuta hela kijana , najua ukipata hela utajua hakuna neno fataki wala malaya ni umasikini tu umetuletea misamiati mingi
Huyu mshamba_mkuu ana miaka 19, bado mdogo pia

Mzee tuko ma vijana wadogo sana humu. Kijana huyu anasoma Mbeya huko yuko chuo mwaka wa mwisho

Mbali na hilo bado kijana ni bikra. Baada ya kupata demu tutaona post zake nyingi tu
 

Similar threads

Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha; Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa Katika maisha...
Replies
12
Views
393
Mark Zuckerberg ambaye amenaza ujenzi (a mega project) wa nyumba au makazi ya ardhini a.k.a maandaki maalum (underground bunkers) kwa ajili ya kujikinga na madhara pamoja na uaribifu mkubwa hata ule unaweza kusababishwa na silaha za maangamizi za nyuklia. Ujenzi wa mabangaloo hayo yalio ardhini...
Replies
4
Views
181
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) ni teknolojia inayokuwa kwa kasi duniani huku ikianza kukita mizizi katika uzalishaji wa muziki kwa wanamuziki wa nchi za Magharibi. Kupitia teknolojia ya AI mtu anaweza kuomba atungiwe mashairi kuhusiana na mada husika na kuiamrisha kompyuta kusuka mdundo na...
Replies
4
Views
303
Wakuu nafanya iwe fupii ili tuende pamoja... Biblia inaeleza habari za kupanda na kuvuna, chochote anacho panda mtu ndicho anacho vuna, ilo hata wewe unalijua( well done)... Kuhusu MASKINI Biblia inaeleza tena kuwa, watu wanapewa mali na Mungu ili wasaidie wengine ili umasikini uwe...
Replies
6
Views
165

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom