KF ni kama mbingu na nchi mpya

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Hili ndio jukwaa ambalo tunajua maana ya changes, chances, uhuru na haki ya kupinga

Tunaahidi kutoa huduma bora zisizo kuwa na kashikashi/mizengwe yeyote

Maoni ya watumiaji wetu ni muswada imara kwetu

Nachukua nafasi hii kuomba members wetu wa faida kualika watu ili tujaze hii forum, kupost nondo za maana huu ndio mchango wa mali na hali unaofata baada ya maoni

Pia tukifikisha members 100 wote ambao watakuwa active basi watapewa uPlatnum member
 

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Sijui na mm lini nitaupata uplatnum manake kila nikijichungulia najiona mwanakijiji
 

Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
660
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL), yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Tanzania, ilizindua Skyleader 600 kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania jijini Dar es Salaam. Ndege hizi ni za gharama nafuu,zinatumia mafuta kwa uchache, na gharama za matengenezo ni nafuu...
Replies
11
Views
434
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
294

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom