Kwanini wanapandishaga haya madude?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Wakuu kuuliza sio ujinga

Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza
Je niili yasichafuke?
Au yanapancha?
Au gari alina mzigo?
Au linapunguza ulaji wamafuta?
Au linatumika kama breki😄
Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
images (1).jpeg
 
Nimeposti status whatsapp kuna mdau amesema eti hayo matairi niya jinsia ya kike kwahyo yanapenda kubebwa kama mademu😂
 
Nimeposti status whatsapp kuna mdau amesema eti hayo matairi niya jinsia ya kike kwahyo yanapenda kubebwa kama mademu😂
Sio kweli na kama tairi ya spea ikitokea pancha then wanatumia hayo
 
Nadhani ni kwa sababu gari linabeba uzito mkubwa. Kuna mda hayo matairi tena gari likipamda tuta unaona kabisa yanatumika

Ngoja wataalamu waje
 
Nadhani ni kwa sababu gari linabeba uzito mkubwa. Kuna mda hayo matairi tena gari likipamda tuta unaona kabisa yanatumika

Ngoja wataalamu waje
Mimi wmwenyewe mtaalamu hakuna cha tuta wanaweka kama backup
 
Mimi wmwenyewe mtaalamu hakuna cha tuta wanaweka kama backup
Ahaha ulivy9jiita mtaalamu huku kwetu huwa ni waganga wa kienyeji

Kama ni back up je lazima yakae chini mbona hukuti wameyatoa?
 
Nadhani ni kwa sababu gari linabeba uzito mkubwa. Kuna mda hayo matairi tena gari likipamda tuta unaona kabisa yanatumika

Ngoja wataalamu waje
Kina fundi nyundo?
 

Similar threads

Niaje wakuu, hivi wabongo wanawazaga nini? Unakuta mtu anawazazi kijijini wakati wazazi wako hai hawajengei nyumba na hela ipo.. Ila mzazi akifa tu ndio anaanza kujenga kwa fujo(wiki moja), hizi hela za kujenga nyumba haraka hvi zinakuwaga wapi sku zote?.. Unajiuliza inamaana marehemu hakustaili...
Replies
7
Views
126
Daaah hii mada ngumu kumeza haina haja ya salamu... Kichwa chenyewe kokii. Lazima kikufikirishe pia kikupe uoga tuu. Tunaanza hiviii. Kifo ni ile hali ya uhai kutoka ndani ya kiumbe hai chochote. Kifo kinaweza kumtokea mtu, mnyama, bakteria, kirusi, mmea, jani n.k. Vyote hivi maadamu vina...
Replies
26
Views
286
Nina maana ukipata watu 20 au 30 kila siku mtu mmoja anatoa 5000 au 10000 na kila siku mtu mmoja anatoka. Siitatusaidia kidogo kupambana na maisha. Wewe ni prezidaa uwezi kimbia ukaacha app
Replies
102
Views
2K
Mniwie radhi sina mpangilio naandika kadri vinavyokuja kichwani.... 1. uovu wa bure (uovu usio na lengo) Inajulikana kwamba yote yanayotokea hapa duniani, mazuri kwa mabaya, yamepangwa na Mungu.... yanatokea kwa sababu. Lakini kuna mambo mengi mabaya yasiofafanulika yanayotokea kwa watu wasio...
Replies
40
Views
654
Samaleko... Binafsi natumia Dolby perfume na Amara deodorant kwa sababu zinanukia vizuri na pia ni very affordable kwa majobless kama mimi. Wewe unatumia ipi? Share with us!
Replies
36
Views
698
Back
Top