Kwanini watu wanasubiri wafiwe ndio wajenge?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Niaje wakuu,
hivi wabongo wanawazaga nini? Unakuta mtu anawazazi kijijini wakati wazazi wako hai hawajengei nyumba na hela ipo..
Ila mzazi akifa tu ndio anaanza kujenga kwa fujo(wiki moja), hizi hela za kujenga nyumba haraka hvi zinakuwaga wapi sku zote?..
Unajiuliza inamaana marehemu hakustaili kujengewa?
Au watz tuna heshimu kifo kuliko uhai?
Anza kutambua thamani ya mtu akiwa hai..
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Hahaha ni kweli kabisa watu hua hawachukui maamuzi mpaka wa dharirike wakati uwezo walikuwa nao
 

Similar threads

Wakuu kuuliza sio ujinga Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza Je niili yasichafuke? Au yanapancha? Au gari alina mzigo? Au linapunguza ulaji wamafuta? Au linatumika kama breki😄 Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
Replies
7
Views
88
Daaah hii mada ngumu kumeza haina haja ya salamu... Kichwa chenyewe kokii. Lazima kikufikirishe pia kikupe uoga tuu. Tunaanza hiviii. Kifo ni ile hali ya uhai kutoka ndani ya kiumbe hai chochote. Kifo kinaweza kumtokea mtu, mnyama, bakteria, kirusi, mmea, jani n.k. Vyote hivi maadamu vina...
Replies
26
Views
286
Nina maana ukipata watu 20 au 30 kila siku mtu mmoja anatoa 5000 au 10000 na kila siku mtu mmoja anatoka. Siitatusaidia kidogo kupambana na maisha. Wewe ni prezidaa uwezi kimbia ukaacha app
Replies
102
Views
2K
Mniwie radhi sina mpangilio naandika kadri vinavyokuja kichwani.... 1. uovu wa bure (uovu usio na lengo) Inajulikana kwamba yote yanayotokea hapa duniani, mazuri kwa mabaya, yamepangwa na Mungu.... yanatokea kwa sababu. Lakini kuna mambo mengi mabaya yasiofafanulika yanayotokea kwa watu wasio...
Replies
40
Views
654
Samaleko... Binafsi natumia Dolby perfume na Amara deodorant kwa sababu zinanukia vizuri na pia ni very affordable kwa majobless kama mimi. Wewe unatumia ipi? Share with us!
Replies
36
Views
700

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom