Msaada jinsi ya kuzuia au kupunguza kasi ya uwaraza

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Tatizo la kunyonyoka kwa nywele na kuwa na kipara limekuwa likiwatatiza wanaume wengi kwa muda. Shida hii mara nyingi huanza wanaume wakiwa wana miaka 30 hivi, na kufikia umri wa miaka 50 nusu ya wanaume huwa wanakabiliwa na tatizo hili.

Tatizo hili hutokana na vinyweleo vya nywele, ambavyo huwa kina cha ukuaji wa nywele, kujinywea. Shughuli hii huendelea pole pole kwa muda mrefu. Kuna wengi wanaodai kuwa na tiba ya tatizo hili, baadhi wakitumia dawa za kisasa na wengine za kiasili lakini ufanisi wake huwa tofauti.


Toa mawazo jinsi ya kuzuia au kupunguza kasi ya uwaraza.5cd34a492300003000b71e08.jpeg
 

Similar threads

Wakuu nipo alone mwenyewe huku muda umesonga kigiza kimeingia ila sijui nipike nini au ninunue kiepe? Wadau nipeni mawazo msosi wa chap ambao hautumii nguvu na ela nyingi duh nimekuwa mvivu wa kufikitia Gily Leejay Katkit
Replies
15
Views
550
Ndugu zangu nazani mnajua ya kwamba mimi niko single, nmekuja hapa ili mnisaidie jambo hili... Kipindi cha nyuma kidogo nliangaliaga series ya GOT (game of throne).. kwa kweli nlijikuta nampenda sana huyu dada mother of dragon, Nasijawai penda mdada mwingine mpaka leo hii, kwahvo inanibidi...
Replies
49
Views
624
Oya wadau mwenye mbinu ya kunisaidia niweze kuongeza pesa zangu mara mbili au zaidi, yaani kudoubling hela nliyonayo sasa.. tupeane michongo
Replies
64
Views
1K
Wanakijiji amani ya Mungu iwe nanyi Naomba msaada kwa ajili ya mtoto huyu wa mjomba. Kwanza mjomba alizaa na mwanamke wa kichagaa wakaachana sababu sifahamu kwani nilikua mdogo kiasi. Sasa baadae mjomba akaja kuoa mwanamke mwingine wa kichaga ambae yupo bae mpaka sasa. Msaada ninao taka kutoka...
Replies
12
Views
311
  • Article Article
Sehemu ya 1 Mapambano ya naanza ni siku nyingine Naitwa Thaibu kijana mchapa kazi, nilizaliwa mnamo tarehe 08/06/2004 nilimaliza elimu yangu ya msingi 2016 na siku bahatika kuendelea na shule hivyo nilitumia mwaka mzima nyumbani mpaka pale nilipoona kuwa sasa inabidi niyajenge maisha yangu...
Replies
13
Views
437

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom