Nimekutana na historia hii ya marehemu

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Pata Historia Fupi ya Marehemu

Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo. karibu ndugu uliyeandaliwa kwa shughuli hiyo

Msomaji: "Ifuatayo in historia fupi ya marehemu tuliyemlaza katika nyumba ya milele.marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo mzazi wake alijihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26 iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya maana japo alisoma mpaka kidato cha tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu haina mpango kwake.Marehemu alikuwa kero kwa familia yake hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi wa mboga, uongo, uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae ushoga.Mimi binafsi mjomba wake nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu kwani alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindu x2 kiasi kwamba ndugu wote wakakusanyika na kunililia msiba.Mtoto alitutia hasara sana kwani alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa! pia tumepoteza gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa shoga tangu tarehe 06/03/97.Marehemu hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la vikundi 3 vya mduara.Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia kero.Asiilaze roho ya marehemu peponi wala asimpumzishe, kama kuna mkong'oto huko ampe kiaina.AMINA ...
 

Similar threads

Natumaini wote wanzima humu.. LIFAHAMU KABILA LA WACHAGA Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo. Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini...
Replies
4
Views
227
"If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. Don't complain." Wakuu mko gudi? Mmeshiba? Mna Amani? Leo nimekuja na hii kitu inaitwa KULALAMIKA. Mara nyingi watu walalamishi awajuagi wanatabia hii, kwahiyo kuwashauri ni ngumu maana ubishi ndio sifa yao...
Replies
6
Views
94
Kutenga muda kwa ajili ya kupumzika ni jambo jema na la ustawi kwenye maisha yetu. Kipaombele cha kujitunza kwa kupumzika mara kwa mara ni zawadi na msingi wa afya na furaha ya muda mrefu. Vilevile kutenga muda na kutengeneza matukio ya kupumzika huchangamsha hari, na kukupa amasa kutimiza...
Replies
17
Views
125
Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie...
Replies
4
Views
532
Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
Replies
4
Views
224

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom