Taarifa kwa uma kuhusu bodaboda kutozwa kodi

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,007
22,560
113
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi
Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji Tsh. 120,000 na zitalipwa kwa awamu 4 ndani ya Mwaka

Alisema hayo wakati akiwasilisha mada ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali za Kodi kwa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu, ambapo pia alieleza Kodi hizo zimeanza mwaka huu wa fedha ulioanza Julai Mosi, 2023.
globaltvonline_366423649_252945057676932_5399493958277210062_n.jpg
 

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,770
113
TRA mkiweka kodi kwenye bodaboda mtasababisha ajali nyingi na wezi watajaa mitaani

bodaboda faida ndogo
 

Similar threads

Uganda. Takriban wanaume 32 wameiandikia Kurugenzi ya Udhibiti wa Uraia na Uhamiaji (DCIC) nchini Uganda, wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto baada ya matokeo ya DNA kuonyesha kwamba wao siyo wazazi halisi wa watoto hao. Msemaji wa Wizara ya Masuala ya Ndani wa nchi hiyo, Simon...
Replies
3
Views
780
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
78
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
379
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
383
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
415
Top Bottom