Tukio gani ambalo ukilikumbuka basi huishi kucheka tu mwenyewe

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
kuna sindano nilichomwa,

kuna dawa nilipakwa nikawekewa na kama kibandage flani hivi

mama alikua anananichua na asali

sasa sikumbuki kipi hapo kilisaidia, ni miaka mingi imepita....
Labda inategmea na ngozi ya mtu na mtu...nakumbuka dogo alilazwa hospitali kama miezi miwili hiv,, alikua anachomwa sindano, alipakwa sana asali na mayai lakini makovu bado yapoyapo🤷‍♀️🤷‍♀️
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
nilifedheheka kipindi masoma darasa la tano,
wazungu walileta mipira kwahyo tukalazimika kucheza darasa la 5A na 5B, mimi sijawai cheza mpira kabsa ila siku iyo nikapangwa kuwa beki kwakua nilikua nimrefu, siku ile nlikua maarufu sana maana mipira yote inayokuja nlikua sisubiri itue nilikua naibutua tu.... kimbembe kilikua baada ya mpira kuisha mguu ulikua umevimba, hadi kiatu akitoki mguunii, kwanzia siku hyo mpira sijawai uelewa
 

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Haha nasubiri kwa hamu kisa cha pili....

Tukio ambalo nikikumbuka nacheka ni mkasa wangu ule ulionikuta Guest nilivyoingia kumbe niliacha mlango wazo akili inaniambia niko nyumbani.

Tukio La Kwanza:
Nilikuwa na hamu sana na papuchi nilipofika tu nikavua nguo sasa napiga simu demu wangu yuko mbali sana nikasema ngoja nijilaze kitandani usingizi ukanipitia. Kuja kushtuka nakuta niko uchi bado na mlango uko wazi kumbe sikulock aisee.

Nawazaga tu hivi hakuna aliyenipiga picha kweli, siku nikikuta picha zangu huko mtandaoni nimelala huku dudu limesimama sitoshangaa 😬

Tukio la Pili:
Kuna jamaa alinishawishi kwenda kufanyiwa massage pande za Kino doni Morocco Kuingia chumba cha massage akaja dada mzuri sana aisee akaniambia nichague aina ya massage nayotaka. Kwa kuwa nilikuwa muoga nikamuomba anipe the best hela ipo asiwaze

Kilichofatiwa nililala na tumbo yule dada akavua nguo zake zote akanipa mafuta mgongoni kisha akapanda juu na kuanza kunisugua body to body massage.

Akaongeza mafuta na kuanza kunisugua na matako yake malaini laini kwa kweli nilifurahi sana. Ila sasa ilinitoka laki moja kwa ajili ya massage tu. Japo nilifurahia ile yule dada sijui hakuchamba vizuri maana mgongo wangu wote ulinuka MAVI.


Tukio La Tatu:
Tukio hili la tatu si la kufurahisha ila kuna mda nikiwaza huwa nacheka mwenyewe tu

Kuna mzee alibanwa na haja hapo tunatokea Handeni Tanga sasa akawa anakuja kumwambia dereva asimamishe bus, ila konda na dereva wakawa wagumu kumsikiliza.

Trip kama tano za kutoka nyuma ya bus mpaka mbele watu tukajua kuwa mzee anaulizia kituo kapotea.
Ile Trip ya Sita si mzee akanza kujinyea kuanzia siti ya mwisho kamalizia kujinyea alipofika kwa dereva.

haha 😆 tulivumilia ile harufu mpaka tunaingia Chalinze. Jamaa akawa amefika kwake akashuka na mzee akampa nguo nyingine. Safari yangu iliishia hapo Chalinze nikachukua gari jingine

Ile naingia kwa bus lingine coaster ya Morogoro ni kama nilikuwa nimejipulizia perfume ya marashi ya mavi maana ile harufu niliingia nayo plus nimetakanyga yake mavi kwenye bus. Aisee hii siku sitaki kuikumbuka WHAT A DAY!!
Wewe kibosile zote chai hizi
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
nilifedheheka kipindi masoma darasa la tano,
wazungu walileta mipira kwahyo tukalazimika kucheza darasa la 5A na 5B, mimi sijawai cheza mpira kabsa ila siku iyo nikapangwa kuwa beki kwakua nilikua nimrefu, siku ile nlikua maarufu sana maana mipira yote inayokuja nlikua sisubiri itue nilikua naibutua tu.... kimbembe kilikua baada ya mpira kuisha mguu ulikua umevimba, hadi kiatu akitoki mguunii, kwanzia siku hyo mpira sijawai uelewa
😂😂😂Sijayaelewa maswaibu yako unaonekana ulikua ni toto yai yai sana
 

Katkit

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 8, 2023
Messages
693
Reaction score
2,144
Points
93
Mwaka juzi nilimtembelea babu kwake pale Sea view Upanga karibu na daraja la Tanzanite, wakati nipo nje akapita GSM na chawa wake, alivoniona akanifata akanisalimia then akaniuliza kuhusu daraja kufunguliwa me nkamjibu kwa kuvimba utadhani tupo levo sawa.
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Mwaka juzi nilimtembelea babu kwake pale Sea view Upanga karibu na daraja la Tanzanite, wakati nipo nje akapita GSM na chawa wake, alivoniona akanifata akanisalimia then akaniuliza kuhusu daraja kufunguliwa me nkamjibu kwa kuvimba utadhani tupo levo sawa.
Lying Simon Rex GIF by Simon Rex / Dirt Nasty
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mwaka juzi nilimtembelea babu kwake pale Sea view Upanga karibu na daraja la Tanzanite, wakati nipo nje akapita GSM na chawa wake, alivoniona akanifata akanisalimia then akaniuliza kuhusu daraja kufunguliwa me nkamjibu kwa kuvimba utadhani tupo levo sawa.
Chaiiiiii
watu wa simba mna chuki angekuwa MO ungemwamkia😬
 

Poor brain

New member
Joined
Jul 3, 2023
Messages
120
Reaction score
344
Points
0
Tulikua tunashindana kufeli...
Advance kuna mambo ya ajabu mno 😂😂😂
 

Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
269
Replies
8
Views
479
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
557
Umwa sana Hitaji pesa Anzisha biashara/shughuli yenye kuwahitaji sana Oya wakuu hii ni quote tu marafiki wapo na wanafiki wapo watakupenda kwa namna flani ila baada ya muda hawako na wewe Tupambane together tuijenge KF as members
Replies
11
Views
312

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom