- Jun 4, 2023
- 7,609
- 26,404
- 113
Muambatanishe na picha zenu basi tuone kama ni kwelikuna kachaa alinambia nafanana na saigoni
NAKAZIAWeka na picha yako tuone kama ni kweli
SIKAZIIMuambatanishe na picha zenu basi tuone kama ni kweli
majungu hayajawah muacha mtu salamaSIKAZII
kapicha kako wapi ?Nimefanana na Justin Bieber
Ukiwa na madevu alafu masikini unaonekana mchafumimi naambiwaga nimefanana na meek mill
View attachment 414
pia donald glover kidogo
View attachment 415
Tuma yako nahisi umefanana na Johnny sinkapicha kako wapi ?
Nakataamimi naambiwaga nimefanana na meek mill
View attachment 414
pia donald glover kidogo
View attachment 415
Cousin angu alinambia badala ya kutafuta kazi, nafuga ndevu. Nilicheka sana.Ukiwa na madevu alafu masikini unaonekana mchafu
wivu tu mzeeUkiwa na madevu alafu masikini unaonekana mchafu
Hahaha ndo umshauri na mwenzioCousin angu alinambia badala ya kutafuta kazi, nafuga ndevu. Nilicheka sana.
unanitakaNakataa
Watch your moves bwana madevuunanitakaí ½í¸
Nimesema nakataa hujafanana na hao watu, yani weweunanitaka
mtaachana tu!!Watch your moves bwana madevu
Utasubiri sanamtaachana tu!!
ndevu zinafug chawa na kunguniUkiwa na madevu alafu masikini unaonekana mchafu
Haya.mtaachana tu!!
@Leejay yakweli haya?Humu ndani hakuna anayekujua zaodi yangu wewe unafanana na Gollum
View attachment 416
Sema nini mwarabu haina noma Manyanya sio mbali nunua sanda kabisaHumu ndani hakuna anayekujua zaodi yangu wewe unafanana na Gollum
View attachment 416
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.