Unafanana na mtu gani maarufu?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Brother class mate wako ngoja nikuambie ukweli. Unafanana sana na Rick Ross
View attachment 476
Hahahaaaa hapana mimi sina unene kiasi hicho na sina mandevu....Halafu mchizi ana historia mbovu sana...Hapo kitambo kidogo aliwahi kuwa askari magereza, Ilitokea siku alifungwa jamaa mmoja hivi drug dealer na ndie alikua anaitwa Rick Ross au Rozay... na alikua mwandishi mzuri sana wa mashairi sasa kutokana na kesi yake kuwa ngumu na alikosa dhamana kabisa ikambidi amtumie huyo bonge Rick Ross wa sasa kuendeleza mipango yake n’je alimpa ramani ya mipango yote ila cha ajabu bonge rick ross alimgeuka na kuacha kazi akakimbia mji na kuhamia mji mwengine na kuanza kuishi maisha ya yule mfungwa kama alivyochorewa ramani na mashairi aliandikiwa akaenda studio na kuanza kutoa ngoma moja moja hadi leo amekuwa mtu maarufu kupitia nyota ya mtu mwingine....
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113

Kijiji kina madini sana hiki haya tungeyajua wapi. Hebu andika historia hii kule kwenye celebrities tupate historia zake.
Love it. .
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
I saw it on ID walieleza documentary moja safi sana.
Mods hawalipwi mzee😃 sasa tunataka kuwaajiri mods wanawake kwa sababu wanaume wanatumia madaraka vibaya
Sihitaji kuwa mod kwa ajili ya malipo ila nakua na uwanja mpana sana wakati wa uandishi hata kuedit uzi inakua safi line neno edited linakuwa halitokei kwa sababu kuna option ya kuedit silence...

Dah! Yani uwape umod mademu 🤣🤣🤣 itakua kazi kweli ban hazita kauka hawatajua ni utani wala nini wapita na yeyote hata ukitumia neno mjinga sana...Unakula ban kwa sababu vichwani mwao hilo neno limeclick kuwa ni tusi kubwa sana 🤣🤣🤣🤣
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sihitaji kuwa mod kwa ajili ya malipo ila nakua na uwanja mpana sana wakati wa uandishi hata kuedit uzi inakua safi line neno edited linakuwa halitokei kwa sababu kuna option ya kuedit silence...

Dah! Yani uwape umod mademu 🤣🤣🤣 itakua kazi kweli ban hazita kauka hawatajua ni utani wala nini wapita na yeyote hata ukitumia neno mjinga sana...Unakula ban kwa sababu vichwani mwao hilo neno limeclick kuwa ni tusi kubwa sana 🤣🤣🤣🤣
Kwani kule site nyingine unafikiri kuna mods wanaume wote wanawake unafeli wapi.

Dah nimecheka hapa kuna mod Kani text kuwa ukipewa umod wewe yeye anajitoa 🤣
@Hakimu njoo huku
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Kwani kule site nyingine unafikiri kuna mods wanaume wote wanawake unafeli wapi.

Dah nimecheka hapa kuna mod Kani text kuwa ukipewa umod wewe yeye anajitoa 🤣
@Hakimu njoo huku
😂😂😂 Wacha napita kimya maana bomu limeteguliwa manataka kuunga nyaya tena ili tulipuke wote

+1
 
Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
660
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
  • Question Question
Mambo zenu wadau humu ndani Kuna mwanamke nimekua nae kwenye mahusiano mwezi wa saba sasa. Naomba mnisaidie jinsi ya kiachana nae maana nmejaribu nimeshindwa
Replies
7
Views
228
Habari za mda huu. Kuna njia nyingi sana za msamaha ambazo unaweza kumsamehe mtu . 1.unaweza kumsamehe mtu ila kila mtu afuate hamsini zake/kila mtu afuate mambo yake.yani hapo utaki tena mawasiliano naye wala urafiki tena.kama ni mpenzi wako utaki tena muendeleo kwenye uhusiano naye utakuwa...
Replies
17
Views
396
Wakati unakuja ambao mtu ataweza kujua siku yake ya kufa na sababu ambayo itampelekea kifo. Kadiri sayansi inayokua kwa kutumia taarifa kutoka kwenye mwili wa mwanadamu kama umri wa kuishi na afya ya muhusika utatoa maelekezo kuhusu siku yake ya kufa. Leo hii tumeona wagonjwa wa saratani na...
Replies
19
Views
228

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom