Unafanya kazi gani ? Ulisomea nini ? uliipenda kazi gani ?

na bahati mbaya, kilicho kwenye mtaala na ground ni vitu viwili tofauti
nimesoma EE(na kumaliza kwa mbinde sana) lakini nacho kiapply 'field' ni mbingu na ardhi wallahi
🤣🤣🤣🤣kama ulikuwa kwenye sensa unaweza ukasapoti hii kitu mnachosoma na mnachoenda kufanya tofauti kabisa
 

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
127
Niaje? Hope uko gudi kama mimi.. Wadada wa kazi maarufu kama beki tatu wamekua msaada sana katika familia zetu, hii ni kwasababu ya ubize wa kutafuta maisha kwa wana familia(mme&mke).... Changamoto inakuja pale tuu unapopata dada wa kazi ambaye ni kichomi, yaani mauza uza yakutosha... Ndugu...
Replies
33
Views
442
habari zenu hii ni true story by manenge. leo nimeona niwape japo kwa kirefu sana kuhusu hii kazi yangu ya professional tour guide,kwa majina yangu nileyepewa na wazazi wangu naitwa raymond joseph mushi,nimzaliwa wa machame. nimeona ni share nanyi ilimjue kuhusu hii kazi ambayo haina...
Replies
43
Views
1K
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
Replies
26
Views
441
Afya ni Afya wote tutakufa . Wanakijiji habari zenu , Mimi najua waliowengi kwa wanakijiji mmesafiri vijijini na mijini , leo mwenzenu naikumbusha tena serikali kuwa hawa watu wa afya hasa kwenye hizi zahanati ni wazi kuwa wengi wao ni watabibu . Nisichoweza kupinga ni kuwa kwenye ulimwengu wa...
Replies
16
Views
266

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top