Vifahamu vyeo vya jeshi (JWTZ)

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,699
Reaction score
6,206
Points
113
Hivi vyeo mbona hatuoni sergent. Koplo na kuruti?

Hebu shusha vyeo vyote
 
Friday 01, July 2022
RAIS ATEUA MKUU WA MAJESHI, MNADHIMU MKUU WA JESHI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amempandisha cheoMeja Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini. Kabla ya uteuzi Jenerali Mkunda alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo.

Jenerali Mkunda anachukua nafasi inayoachwa na Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ambaye anastaafu Utumishi Jeshini tarehe 30 Juni, 2022, baada ya kulitumikia Jeshi kwa kipindi cha miaka 43.

Wakati huo huo,Rais amempandisha cheoMeja Salum Haji Othmankuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi.Kabla ya uteuzi Luteni Jenerali Othman alikuwa Kamishna wa Utafiti na Maendeleo ya Jeshi Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Luteni Jenerali Othman anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.

Wakuu wa Majeshi waliowahi kuliongoza JWTZtangu kuasisiwa kwake Septemba,Mosi, 1964 ni pamoja na Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya (1964 - 1974), Jenerali Abdallah Twalipo (1974 - 1980),Jenerali David Bugozi Musuguri (1980 - 1988),Jenerali Ernest Mwita Kyaro (1988 - 1991), Jenerali Robert Philemon Mboma (1991 - 2001), Jenerali George Marwa Waitara (2001 -2007), Jenerali Davis Adolf Mwamunyange (2007 - 2017)na Jenerali Venance Salvatory Mabeyo (2017 - 2022).
 

Similar threads

How are you my fellow villagers.. Nmeona niwaletee mkasa mfupi wa kijana mmoja wa hapa mtaani kwetu yeye anaitwa FOGO... Fogo ndio jina alilopewa na wazazi wake, ukimcheki utazani watu wanamkejeli kutokana na kwamba jina na muonekano wa jamaa(ni usiku na mchana) yaani haviendani.. Uyu mwamba...
Replies
10
Views
213
Vibwagizo vya vyombo vya usafiri ukisoma mwenyewe maneno yaliyoandikwa unaishia kuchela unacheka.
Replies
12
Views
573
Katika maisha tunasurvive kulingana na wingi wa hekima tuliyo nayo; Kwakua hekima ni mali ya thamani zaidi ambayo unapaswa kupata kila siku. Mithali 16:16 Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Juma pili njema
Replies
2
Views
230
  • Article Article
Single, Married, Seperated & Life After Divorce. Rediscovering the Kingdom. Kingdom Principles. Applying the Kingdom. Rediscovering the Kingdom Worship. Reclaiming God's Original Purpose for your Life. Glory of Living. Understanding Your Potentials. Releasing Your Potentials. Maximizing Your...
Replies
9
Views
444
Habari zenu wangu.. Moja kwa moja natiririka kwenye uzi kama hivi,dunia yetu imepita nyakati mbalimbali za kukua,zamani kuna vitu mtu kuwanavyo ilikuwa deal sana,tena bei na uthamani ulikuwa wa hali ya juu,vitu hivyo walimiliki matajiri na watu wenye pesa zao, Sasa napenda kuwaletea vitu...
Replies
6
Views
291
Back
Top