Walimu wako nao walikuaga na utoto kama hawa?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Wakuu kwema?
Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi..

Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua...
je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua nao kipindi unasoma?

Kwa mfano kuna tukio moja liliwai kutokea shuleni(sekondari) lilikuwa la kufurahisha sana maana hatukuwai kukutana na tukio kama hili.

Ilikua mida ya asubuhi saa tano tuko busy klass mara ghafla ikagongwa kengele ya dharura.
Kwahyo wote tukakusanyika kila mwanafunzi akiwaza nini tatizo au niukaguzi wa ghafla?
Kila mmoja alikuwa na lake la kuwaza..
Mwalimu wa zamu alifika akiongozana na walimu wenzake na jamaa mmoja( mwanfunzi wa 4m 4) akaambiwa apige magoti..

Tukajua jamaa kashikwa akiwa ametoroka au kapiga tukio baya. Ila cha kisikitisha mwalimu wa zamu akasema mnaye muona mbele yenu amepewa adhabu ya kurudi nyumbani wiki moja na viboko vya kutosha na siku ya kurudi anatakiwa aje na mzazi kwa kosa la kwenda kujisaidia(kwenda haja) kwenye vyoo vya walimu..

Wanafunzi walicheka sana na jamaaa akanyeshewa mvua ya fimbo..

Sasa najiuliza hawa walimu walishindwa kumuadhibu ofisin wenyewe, mpaka wapige na kengele na kutujulisha wote? Pia kulikua kuna umuimu gani kumrudisha mwanafunzi nyumbani wiki nzima kwa kosa hilo?

Asante
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Naamini walimu ni utume. Ukikosa baadhi ya sofa huwezi kuwa mwalimu
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Walimu wanaongoza kuwaharibu watoto kisaikolojia. Hili litazamwe
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
K

Kabisa.
Gily pole sana kwa maswaibu katika pitapita zangu mahali nimeona sononeko lako .
Pole sana ila usisite kuanza afresh
Yote maisha mzee wangu. Ila naumwa umwa. Leo naona nafuu kidogo. .
 

Similar threads

Kwa nini wanafunzi wanavaa sare? Hili swali limekuwa likiulizwa mara nyingi na wanafunzi dunia nzima. Wengi wakitaka kujua nini hasa lengo la kuvaa sare za shule. Baadhi ya shule zimeenda mbali zaidi na kuruhusu wanafunzi kuvaa nguo zao za nyumbani. Lengo hasa la kuweka sare ni kuhakikisha usawa...
Replies
24
Views
478
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Vp kwa mlio makazini mishahara yenu inatosha? maana naona kila siku gharama zinaongezeka... Tupe mbinu unayo tumia kubalansi mshahara uleule zidi ya ongezeko la gharama za maisha...
Replies
32
Views
640
Ipi ni njia sahihi ya kutafuta mwenza wako? unatakiwa umchague kwa kutumia akili? au umchague kwa kutumia moyo wako? Ukitumia moyo wako kumchagua inawezekana kwa asilimia kubwa hana sifa baadhi ambazo zinawaunganisha. Unaweza mpenda mke wa mtu, kwa sababu umempenda kwa moyo ukamchagua...
Replies
44
Views
754

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom