Wapi nitapata uchawi??

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Toka huu mwaka uanze nimetamani sana kumiliki uchawi,ila uchawi ninaotaka sio wa kutoa kafara,au kuua mtu.
Uchawi naotaka niwakutibu watu
Sitaki uchawi wa majini.
Nataka uchawi wakunisaidia mimi na jamii inayonizinguka.

Mfano kugundua vitu vipya
Kumuweka limtu liwe linanifanyia biashara zangu.


Naombeni msaada.
 

Similar threads

Huyu mzee wao ni wao aka Watoto wa kidugala kapotelea wapi?
Replies
55
Views
1K
Hili swala nimemuuliza jana kijana mmoja kutoka mashahidi wa Yehova. Anadai mtu akifa hurudi katika usingizi wake kama ilivyokuwa hajazaliwa. Ila siku moja watu wataamshwa kutoka usingizini na kuhukumiwa. . Je wengi tunaamini kuwa kuna maisha baada ya kifo. Dini nyingi zinaamini kuna peponi na...
Replies
12
Views
314
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629
Nawasalim wote!✋👋 Mtu wa Mungu jifunze kuona uwepo wa Mungu katika taabu unayo pitia, katika mazingira yote tafuta kuona uwepo wa Mungu, kwani kama utakua kila wakati unaona tu matatizo na taabu bila kujaribu kutafuta kumuona Mungu utabaki katika taabu siku zote.. Mungu anakutizama kama mtu wa...
Replies
18
Views
388
  • Question Question
kila binadamu ana ndoto zake ndoto mojawapo ni kusafiri na kufika sehemu ambayo umewahi sikia uzuri wake au labda uajabu wa sehemu hio, Asikuambie mtu kuna ile feeling ile ya unaenda sehemu for the first time afu ulikua unapaota kumbuka enzi hizo ndo unaenda Dar, Arusha au kwa babe (ulikuwa...
Replies
9
Views
389

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom