Wazazi wetu wanatumbua maisha na kusahau kununua viwanja sinza

Sahizi tunatafuta maisha zamu yetu ovyoovyo na sisi tutalaumiwa kushindwa kuwa na nyumba huko mbeleni nimekaa pale nasubiri
 

Similar threads

Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi za ukoo wetu. Hiki kitu kinachoitwa mila na...
Replies
17
Views
411
Zambia. Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Replies
5
Views
477
Huyu mzee wao ni wao aka Watoto wa kidugala kapotelea wapi?
Replies
55
Views
1K
babu zetu wake zao hawakuwasumbua,walipoanza zimaneno walihama nyumba tu wahamia nyumba ya mke wa pili,ujazaliwa na mwanamke yanini akupe stress?? wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya stress zinazotoka kwa wqanawake,sasa nakuambia usipate stress kutoka kwa mwanamke akikushinda achana naye...
Replies
9
Views
221
Habari zenu?? Imeandikwa na the great manenge.. Inasemekana japani ndo nchi yenye watu wastaarabu duniani kote,watu wajapani wanapenda nchi yao,waaminifu linapokuja suala la nchi yao daima huweke taifa lao mbele ndo mambo mengine yanafuata. Ila kwa hapa tanzania ni tofauti...
Replies
2
Views
104
Back
Top