- Jun 3, 2023
- 2,637
- 6,116
- 113
Hellow! Leo tuzungumze kitu gani kinakuweka very happy kufanya
Binafsi i love coding hasa backend na Databases hua najisikia raha sometimes mpaka nasahau kuwa natakiwa kusoma masomo ya darasani, hasa ninapo learn new language or concepts (hua nafuatilia pia how others do) ili kujifunza easy way na security hua nasahau kbs kama nasoma this week sijagusa book nilikuwa nipo tu na maproject yangu nategemea kesho nianze kukalili mpaka nukta ila baada ya hapo naomba PHP developer tuunde jambo letu