hahaha maamuzi yake mabovu ni kunifanya nile bantuambie kwanza wewe ulifanya maamuzi gani magumu
pole sana aisee, lakini elimu haina mwishoI think not going abroad to study. I had an opportunity and I refused to take it. Now that I am older enough I regret Not taking the chance. Perhaps I am too old to take that chance
haha umekariri mchinjaji anapew firigisi walikuachia ule sauti ya kwioKuchinja kuku kwa kisu butu, hata miguu sikupata
ndio elimu haina mwisho na familia hizi nikienda kusoma watanisahau bora nipotezee nifanye menginepole sana aisee, lakini elimu haina mwisho
haha mwanajeshi alikufanya nini?Kumtukana mwanajeshi, dah sitaki kukumbuka asee!
Aseme kabisaaaa Nahisi huyu alitokea dirishani kwenye scaniahaha mwanajeshi alikufanya nini?
haha akili ilimkaa sawaAseme kabisaaaa Nahisi huyu alitokea dirishani kwenye scania
basi bado hujaishidah, nafkiria ila sipati jibu
au sio unajifanya umekuaRudi kwenu utakufa bure
Angalau mkuu naweza jipambaniaau sio unajifanya umekua
soma hata online basindio elimu haina mwisho na familia hizi nikienda kusoma watanisahau bora nipotezee nifanye mengine
KENGE WEWE!I think not going abroad to study. I had an opportunity and I refused to take it. Now that I am older enough I regret Not taking the chance. Perhaps I am too old to take that chance
Kuchinja kuku kwa kisu butu, hata miguu sikupata
haha kwa nini usifanye mpango ukahama kwa amani?Najuta kukaa kwa ndugu aisee.
dah! natamani sema bdo cjajipata, ila ntaondoka tu. Wakati wa mungu ndio wakati sahihihaha kwa nini usifanye mpango ukahama kwa amannalalanima
nilishawahi kaa na baba mdogo alinifabya panda wa kunsaidie kazi bure bila malipodah! natamani sema bdo cjajipata, ila ntaondoka tu. Wakati wa mungu ndio wakati sahihi
msaidienilishawahi kaa na baba mdogo alinifabya panda wa kunsaidie kazi bure bila malipo
Sasa ananiomba msaada sana
Kash anapiga hela sana hata kwenye biashara yan hata akiwa hana hela bado ananiharibiamsaidie
mpumbav huyoKash anapiga hela sana hata kwenye biashara yan hata akiwa hana hela bado ananiharibiaí ¾í´£
watu ndivyo walivyo mda mwingine hushangaimpumbav huyo
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.