Search results

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  1. Katkit

    Hodi Wanakijiji

    Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada. Mungu ni wetu sote!
  2. Katkit

    Msema kweli mpenzi wa Mungu

    Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
  3. Katkit

    Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

    Gily ulininyanyasa sana 🤣🤣🤣
  4. Katkit

    ONE MONTH ANNIVESARY

    Kukaa kwa ndugu changamoto sana, inafika steji wanatoa kila kitu kwenye chumba walichokukabidhi ukae 🤣🤣🤣🤣. Alhamdulillah saizi nalipa kodi, siku nikipata nanunua wine najipongeza, nikikosa nalala njaa, nipo kwangu no stress 🤸🤸🏾🤸🏾🤸🏾. Mungu wetu sote.
  5. Katkit

    Katkit is back!!!

    Wagwaan wanakijiji wenzangu, Imekuwa muda mrefu sana tangu nionekane kwa mara ya mwisho humu, I hope you'all doing great as I am. Niliwamiss sana wanangu Gily Hakimu dronedrake na wengine wote ambao tulipata wasaa wa kujumuika pamoja kijijini and the special & the only one in my heart my...
  6. Katkit

    Diamond Platnumz na International songs

    Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
  7. Katkit

    Simba Sports Club Special thread

    Hii ndiyo maana ya Anthem sasa!!!!!! H
  8. Katkit

    Ulipokuwa una miaka 10 ulikuwa unaweza kufanya kazi gani za nyumbani?

    Poleni na mihangaiko ya hapa na pale.... Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula? Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
  9. Katkit

    Kwenu warembo na watanashati; Unatumia manukato gani (Perfume & Deodorant) na kwanini?

    Samaleko... Binafsi natumia Dolby perfume na Amara deodorant kwa sababu zinanukia vizuri na pia ni very affordable kwa majobless kama mimi. Wewe unatumia ipi? Share with us!
  10. Katkit

    Eid Ul Adha Mubarak!

    May Allah grant you forgiveness and fulfill all your wishes on this joyous occasion of Eid Ul Adha. Assalaam aleykum!
  11. Katkit

    Oya pombe sio sigara.

    Katika moja na mbili Jumamosi usiku mwingi sana chimbo flani la walesa mavi, kula vombo kula vombo kula vombo mpaka natambaa, kudadeki wasela mavi wakasepa na kisimu changu cha kutambia mjini pumbavu zao. Nililia kisenge! Silewi tena.
  12. Katkit

    Niwe nani?

    Salam? Sahau! Au niwe bodaboda? Au niende Kariakoo nikawe winga? Au nikafyatue matofali? Au nikawe saidia fundi? Au niende viwandani kwa Wahindi? Au nitafute lishangazi? Au nitembeze maji road? Au au au au au au! Malamamae, au basi!
  13. Katkit

    Huu sio usingizi wa kawaida.

    Guyz tangu nimelala jana saa 5 usiku, nikuja kustuka leo saa 4asb, halaf mwili umechoka sana kama nimetoka kulima. Hili sikubaliani nalo kbsa, mwenye connection na mtaalam yyte anisaidie tafadhal.
  14. Katkit

    Ukisema waimba miziki ya rhumba sasa, Fally Ipupa ni hazina inayowika ulimwenguni kwa sasa, 🔥🔥

    Wasalaam, Nimekua addicted sana na nyimbo za mahadhi ya Rhumba za huyu mwamba mpaka rafiki zangu wananicheka wanasema napenda miziki ya kizee. Mayday Ndaye late dior Se yo Maria PM Mal Accompagne Canne sucre Sans Amour Na nyingine nyingi zimenilevya.
Top Bottom