Anza kuthibitisha kwamba wewe ni Nuru

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mithali 4:18
18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu.

Nuru inabidi ipelekwe gizani ili iangaze.

Uthibitisho kwamba wewe ni mtoto wa Mungu ni uwezo wa kuangaza nuru yako hata katikati ya wasio amini na katika hali za giza.

Acha nuru yako ya kimungu ipite kwenye vivuli, una uwezo wa kuwaweka watu huru!...

Onesha upendo kwa watu wote wakati wote..
Siku njema
 

Similar threads

Wanasema kwamba unapooa mwanamke, umeaoa familia yake yote. je kuna ukweli katika hilo? Yani kwakua umeoa kwao lazima ushughulike na wakwe; shemeji, bibi babu, na ex wake(kidding)😀?.. tupe uzoefu/mtizamo wako hapa,,,, Karibu
Replies
42
Views
581
Mniwie radhi sina mpangilio naandika kadri vinavyokuja kichwani.... 1. uovu wa bure (uovu usio na lengo) Inajulikana kwamba yote yanayotokea hapa duniani, mazuri kwa mabaya, yamepangwa na Mungu.... yanatokea kwa sababu. Lakini kuna mambo mengi mabaya yasiofafanulika yanayotokea kwa watu wasio...
Replies
40
Views
654

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top