- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 7,617
- Reaction score
- 26,429
- Points
- 113
Mwisho wa dunia unaweza kuja kwa namna nyingi. Baadhi ya nadharia chache za mwisho wa dunia ambazo watu wamekuwa wakizungumzia, mfano:
Kiama: Kutokana na taarifa nyingi za vitabu vya dini inaaminika kabisa kuna siku ya kiama na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia.
Bomu la nuclear: Kama ilivyotokea Japan ambapo Marekani ilitupa bomu la nuclear na kuua mamilioni ya watu. Kuna uwezekano mkubwa.
Magonjwa Hatarishi: Hapa tumeona jinsi Corona ilivyoua watu. Kuna uwezekano yakaja magonjwa ambayo hayana tiba na yakaleta mwisho wa dunia.
Kimondo kuanguka duniani: Kuna nadharia kuwa hapo zamani kimono kiliangukia dunia na kuharibu mazingira na kuua wanyama wakiokuwepo kabla kama vile dinosaur
Mafuriko: Tumeona hadithi ya Nuhu ikionyesha kuwa aliokoka baada ya kutengeneza Safina. Ila wengi waliangamia kwa mafuriko na kufa mahu
Swali langu haswaaa hii siku ya mwisho wa dunia ikifika utafanya nini?

Last edited: