- Jun 3, 2023
- 2,711
- 6,226
- 113
- Thread starter
- #31
Kwangu cha muhimumimi naonaga sijui miziki, tv sio muhimu....
mimi tv niliweka mwisho kabisa
Kitanda na godoro zuri ,
Sofa kali ,
Kabati, ila hata tenga fleshi ,
Pasi ,
Tv ukiwa na mgeni acheki binafsi mda wote nipo na pc au simu,
Flash yenye picha ya fatal seduction