- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
Katika maisha tunasurvive kulingana na wingi wa hekima tuliyo nayo;
Kwakua hekima ni mali ya thamani zaidi ambayo unapaswa kupata kila siku.
Mithali 16:16
Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha.
Juma pili njema