- Jun 4, 2023
- 1,219
- 3,280
- 113
Yeah mhusika lazima awepo, mdhamini wake pamoja na kiongozi wa mtaa aliyepitisha fomu yake ya utambulishoHivi wakati wa mnada muhusika nae anatakiwa awepo hapo?
Yeah mhusika lazima awepo, mdhamini wake pamoja na kiongozi wa mtaa aliyepitisha fomu yake ya utambulishoHivi wakati wa mnada muhusika nae anatakiwa awepo hapo?
Kama ni mimi.sitaendaHivi wakati wa mnada muhusika nae anatakiwa awepo hapo?
Kama ni mimi.sitaenda
AiseeKuna mzee mmoja alishawishia wa mtoto wa dada yake (yeye ni mjomba) kuwa waweke nyumba bondi wakati wa mkopo Wakaenda kuchukua mkopo bank million 50. Kijana nae akaweka nyumba yake kimara bondi. Zikawa nyumba mbili
Walipochukua wakaenda nunua lori moja la walioshindwa kulipa kodi. Walinunua lori vizuri hawakufikiria kuwa wanaponunua watatozwa kodi walilipia vizuri kisa kinaanza TRA wanataka kodi kitu ambacho kimepigwa mnada. Mbali na hivyo bado lori linahitaji kutengenewa bodi aisee walihaha sana wakashindw kukomboa
Mzee alijaribu kuuza nyumba million 30 wapi kaanzia million 70. Nyumba ikapigwa mnada mbele yake huku anaona how sad it was
Hakuna maisha short cut - always remember this
ilYeah mhusika lazima awepo, mdhamini wake pamoja na kiongozi wa mtaa aliyepitisha fomu yake ya utambulisho
Mimi pia sitoweza kwenda, hivi watu wa mtaani hawamsemi pale chiclni chini. Ukute ulikua unavimba mtaani hii siku inakua ngumu mno
Isitokee upingamizi wa aina yoyoteUiiiii halii wakati vitu vinauzwa
il
Kusemwa lazima hatakama ulikua huvimbiMimi pia sitoweza kwenda, hivi watu wa mtaani hawamsemi pale chiclni chini. Ukute ulikua unavimba mtaani hii siku inakua ngumu mno
Ila kazi yako hyo nomaKusemwa lazima hatakama ulikua huvimbi
Watu hawajaliIla kazi yako hyo noma
NishazoeaIla kazi yako hyo noma
Nishazoea
Roho inauma sema ndo hivyo, utafanyaje tenaInataka moyo mno ila upande wangu siwezi, yan moyo wangu ni very weak emotions zangu ndio hoi kabisa, hyo kazi kila baada ya kutia sign ingenilazimu sijui nimeze dawa nilale kwa lazm la svyo ingenivuruga
Jambo jingine siku hizi watu wa bank wachawi sana. Wanaloga watu wasimalize mikopo wapate faida. Nilivyoona hili nilishangazwa sana
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.