Huduma kwa wateja

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Hivi sisi watanzania huduma kwa wateja tunachukuliaje? Hii elimu tunapaswa tukapewe wapi? Ukienda hospitali za binafsi na serikali huduma mbovu, ukienda ofisi za serikali kule ndio lazima ujute kabisa,
Ukija kwa ndugu zetu huku mtaani ndio utajuta kabisa
Kuna siku hizi za sikuku nilienda majohe huko ndani ndani, wakati wa kurudi kule ukiita uba au bolt hupati sijui kwa sababu inakua nikama nje ya mji au laa, sasa imefika sasa moja usiku na usafiri ukawa wa tabu zaid na mvua ikaja bajaji itusogeze mpka gongo la mboto ndo niite pale uber, sasa kwenyr ile bajaj ndio kizaa zaa , ni kijana mdogo kaeka yale manyimbo yao speaker kelele kama zote, anakimbiza sana sasa ukichanganya na ile ni rough road na nilikua na watoto nikamwomba apunguze speed manake huyu mtoto ndo nilie mbeba ilibaki kdgo ajigonge kweny zile chuma.
Yule dereva akasema siezi kupunguza mwendo manake nataka nile vichwa leo. Tukazozona na mwishowe akanielewa.
Sasa nimebaki na swali moja hivi watanzania tunajua huduma kwa mteja inamaanisha nini?
Wapi watu wakapate hii elimu
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
kama manesi hospitali za serikali naskia ni hatari,

sema ugumu wa maisha unachangia, mtu hapendi kazi, ana msongo wa mawazo, analipwa kidogo n.k......
Ukienda huko unaweza wehuka ingwaje kwa upande wangu kuna baadhi ya maradhi nikiwa nayo naona option ni kwemda kwa wataalamu zaidi
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Siku hizi kuna somo kwenye mtaala wa vyuoni limeongezwa Customer Service na Customer Care. Hii ni kuendana na kasi ya soko la dunia. .
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Siku hizi kuna somo kwenye mtaala wa vyuoni limeongezwa Customer Service na Customer Care. Hii ni kuendana na kasi ya soko la dunia. .
Watakua wamefanya vema sana, mimi nilipokua nafanya kazi sikua reception ila nilikua nashngaa secretary akimrudisha mtu aje kesho kwa kua yeye tu siku hiyo hana mud, au awajibu wafanyakazi wenzie hovyo
 
AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Hakuna litakalo eleweka humu naenda kuharibu mazungumzo kwenye kila nyuzi Gily huyo uliempa urais unamfaham vipi kwamba anakidhi hivyo vigezo na ameipambania vipi KF hadi kufikia hapa leo...

Kama sehemu ya mteja nahitaji kufahamu hii huduma ya vyeo na majukumu humu KF yanapendekezwa au ni maamuzi ya mtu mmoja
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Watakua wamefanya vema sana, mimi nilipokua nafanya kazi sikua reception ila nilikua nashngaa secretary akimrudisha mtu aje kesho kwa kua yeye tu siku hiyo hana mud, au awajibu wafanyakazi wenzie hovyo
Shida inakuja wafanyakazi hawana weledi na kazi wanazopangiwa. Kwenye sekta ya Biashara, ukimkosea mteja unamfukuza. Ndio maana tunaona Financial Institutions zinajitahidi sana kuboresha services zao. Wao wanauza Services zaidi kuliko bidhaa.
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Hakuna litakalo eleweka humu naenda kuharibu mazungumzo kwenye kila nyuzi Gily huyo uliempa urais unamfaham vipi kwamba anakidhi hivyo vigezo na ameipambania vipi KF hadi kufikia hapa leo...

Kama sehemu ya mteja nahitaji kufahamu hii huduma ya vyeo na majukumu humu KF yanapendekezwa au ni maamuzi ya mtu mmoja
Acha fujo mzee. Uraisi ni cheo mtu yeyote anaweza kukaimu humu ndani. Kama ulitaka ungetuma maombi

Nakuhakikishia hata nimiweka lura hapa The great manenge atabaki kuwa Raisi. Kama unabisha nakuweka wewe na yeye tuone watu watamchagua nani.

Pia acha kuhamisha hasira zako kwa The great manenge hajakukosea chochote. Pili mada zako zinafutwa na mod mshamba_mkuu. Japo umemkorofisha president hajakureport wala kutaka ufutiwe mada zako. Muache afanye kazi wakati wake ukiisha na wewe utakuwa president.
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Shida inakuja wafanyakazi hawana weledi na kazi wanazopangiwa. Kwenye sekta ya Biashara, ukimkosea mteja unamfukuza. Ndio maana tunaona Financial Institutions zinajitahidi sana kuboresha services zao. Wao wanauza Services zaidi kuliko bidhaa.
Ngoja tuone hao wa mbeleni watakao maliza vyuo kama hyo elimu yao will have the impact ktk operation zao especially kweny customer service
 
Last edited:

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Shida inakuja wafanyakazi hawana weledi na kazi wanazopangiwa. Kwenye sekta ya Biashara, ukimkosea mteja unamfukuza. Ndio maana tunaona Financial Institutions zinajitahidi sana kuboresha services zao. Wao wanauza Services zaidi kuliko bidhaa.
Na wewe kwenye hii forum yako unaashiria kuwa huna weledi wowote kwenye namna ya kusimamia huduma na kupanga mipango kazi sawa sawa...Huna timu ila unajiamulia wewe kama wewe ndio maana utachelewa sana kupiga hatua kwa kutotambua thamani ya watu wako ulianza nao na waliojitoa kwa moyo wote hata kufungiwa kwa I’ds zao kwa lengo la kuitangaza KF

So fooling around with idiots and lunatic people hutasonga mbele kijana wangu!
 
Little

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jun 28, 2023
Messages
303
Reaction score
876
Points
93
Na wewe kwenye hii forum yako unaashiria kuwa huna weledi wowote kwenye namna ya kusimamia huduma na kupanga mipango kazi sawa sawa...Huna timu ila unajiamulia wewe kama wewe ndio maana utachelewa sana kupiga hatua kwa kutotambua thamani ya watu wako ulianza nao na waliojitoa kwa moyo wote hata kufungiwa kwa I’ds zao kwa lengo la kuitangaza KF

So fooling around with idiots and lunatic people hutasonga mbele kijana wangu!
Mbona kama unatumia lugha ngumu bro, Gilly anajitahidi mno kudeal na watu, na pia anapokea ushauri, "all voices in the village matter, " mchek pm umpe opinions
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Acha fujo mzee. Uraisi ni cheo mtu yeyote anaweza kukaimu humu ndani. Kama ulitaka ungetuma maombi

Nakuhakikishia hata nimiweka lura hapa The great manenge atabaki kuwa Raisi. Kama unabisha nakuweka wewe na yeye tuone watu watamchagua nani.

Pia acha kuhamisha hasira zako kwa The great manenge hajakukosea chochote. Pili mada zako zinafutwa na mod mshamba_mkuu. Japo umemkorofisha president hajakureport wala kutaka ufutiwe mada zako. Muache afanye kazi wakati wake ukiisha na wewe utakuwa president.
Tunajivunia kuwa na wewe Kijiji forum busara kubwa sana kuhandle ambao hawajakua kiakili. KF ni yetu sote
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Na wewe kwenye hii forum yako unaashiria kuwa huna weledi wowote kwenye namna ya kusimamia huduma na kupanga mipango kazi sawa sawa...Huna timu ila unajiamulia wewe kama wewe ndio maana utachelewa sana kupiga hatua kwa kutotambua thamani ya watu wako ulianza nao na waliojitoa kwa moyo wote hata kufungiwa kwa I’ds zao kwa lengo la kuitangaza KF

So fooling around with idiots and lunatic people hutasonga mbele kijana wangu!
Hawa vijana wana akili sana kuliko unavyowaona. Nimekutana nao wakiwa na utoto na ujana mwingi lakini sio kwenye uwezo wao. Wana uwezo wa kufanya makubwa. Sijakosea kabisa kuwa team moja nao hilo nakuhakikishia.

Uwezo wao ni mkubwa hata busara zao ni kubwa. Acha kuwadharau, huna watoto? ina maana hivi ndivyo utaishi na watoto wako utawatukana kuwakebehi na kuwadhalilisha? Vijana wanaweza waache wafanye kazi.

Big up sana kwa Hakimu hujawahi niangusha hata siku moja mdogo wangu. Kwa umri wako mdogo naona future kubwa mbele yako.

mshamba_mkuu niliona una kitu cha ziada sana. Sijawahi ona umemtukana mtu wala kumdhalikisha. Unapenda amani kuliko maelezo.

The great manenge kwanza nakupongeza kwa ustaarabu wengi hawana. Katika watu humu ndani wanaoongoza kuleta watu na kujituma wewe ni number Moja. Umefanya makubwa sana ndani ya hii site kila siku unapost nyuzi mbili tatu umeweza kujituma. Wewe ni Raisi wa KF wakilisha vyema cheo chako.
 
Daah broo umenifanya machozi yanitoke much respect sana,tunakutegemea kijiji forum
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Unabusara sana tena na maarifa pia next president ni wewe
Little is the next president hilo halijapingwa.

Nafasi ya President Inampa fursa kuandaa mawazo yako kuboresha site. Ni cheo cha heshima sana. Hata miaka mingi baadae tunakapoweza kuwa Site kubwa mtapata heshima kubwa sana. Tuombe kheri...
 
The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Little is the next president hilo halijapingwa.

Nafasi ya President Inampa fursa kuandaa mawazo yako kuboresha site. Ni cheo cha heshima sana. Hata miaka mingi baadae tunakapoweza kuwa Site kubwa mtapata heshima kubwa sana. Tuombe kheri...
Namkubali mada zake huwa nazifuatili na hajawahi kuniangusha
 
Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
124
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
391
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom