Je unapenda tatoo? Unajua madhara ya tatoo?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mko wandugu? Nawasalimu guests wote👋 nawapenda natambua uwepo wenu...


Mimi sio mpenzi wa tatoo, pia imani yangu hairuhusu mambo ya kujichora hayo mambo..

Nina rafiki yangu ameokoka ila anayo tatoo ambayo haifutiki shingoni, imemletea shida maana watu wanamuona hayuko serious bado, japo amebadilika kabsa tabia..

Vp wewe ni mpenzi wa tatoo? Unazo ngapi? Na umechora wapi? Zinafutika? Na watu wanao kuzunguka wanakuchukuliaje?
Au ushakutana na tukio lolote mtu kukataliwa kisa kachora tatoo?
Karibuuu!
 
Akwangue ngozi itoke na hizo tatoo
 

Similar threads

Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K
Mimi napenda kulala sana yani nalala sio mchezo na usingizi ukikata hua nawaza sana nifanye nini unique itakayonifanya niwe billionea huku nikitingisha peni au kijiti au kitana mkononi unaweza dhani ni kichaa @Leejay @Gily
Replies
76
Views
1K
Binafsi nje ya IT napenda kuigiza comedy kama wale wasanii wa Hollywood
Replies
31
Views
392
Je! unajua kwamba unapokula nanasi,nanasi nalo hujaribu kukula wewe pia? Nanasi ndio tunda pekee linalobeba bromelain, kimeng'enya chenye uwezo wa kuvunjavunja protini. Kwakuwa mwili wako umetengenezwa kwa protini, vipande vya nanasi unalokula huwa vinajaribu kukumeng’enya nawewe, nakupelekea...
Replies
4
Views
322

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top