Unapenda kufanya nini ukiwa idle

Napenda kucheza na adobe set...
Napenda check movies
Napenda kusikiliza music (ngumu)
Napenda kufanya imagination ya future life about me hii ndo napenda zaidi.. yaani naweza acha hata kula.kisa haya mambo 🤓🤓🤓
 
kusoma mavitavu mbalimbali, now nasoma sana bible
 
Napenda kucheza na adobe set...
Napenda check movies
Napenda kusikiliza music (ngumu)
Napenda kufanya imagination ya future life about me hii ndo napenda zaidi.. yaani naweza acha hata kula.kisa haya mambo 🤓🤓🤓
unaijua ulimi mbili ya fidq
 
Sijawahi kuwa idle mara nyingi nakua na pilika pilika nyingi sana...Ila nakuwa na mdaa kidogo wa kurefresh mind na hapo nitakunywa liquor kidogo then naendelea na mambo yangu mengine...
 
Sijawahi kuwa idle mara nyingi nakua na pilika pilika nyingi sana...Ila nakuwa na mdaa kidogo wa kurefresh mind na hapo nitakunywa liquor kidogo then naendelea na mambo yangu mengine...
Kuna tetesi za chini kwa chini unataka kuanzisha forum yako kuwa mshindani wa Kijiji. Je tetesi hizi ni za kweli?
 
Kuna tetesi za chini kwa chini unataka kuanzisha forum yako kuwa mshindani wa Kijiji. Je tetesi hizi ni za kweli?
Hata sina hilo wazo kabisa huwezi amini ila ushauri ukiitafuta kijiji forums kupitia browser such as bing wanasema haitambuliki kama forum kamili ila ni chatting forum yenye watumiaji wenye akili za watengeneza comics books 🤣🤣🤣
 
Similar threads

Binafsi nje ya IT napenda kuigiza comedy kama wale wasanii wa Hollywood
Replies
31
Views
392
Mko wandugu? Nawasalimu guests wote👋 nawapenda natambua uwepo wenu... Mimi sio mpenzi wa tatoo, pia imani yangu hairuhusu mambo ya kujichora hayo mambo.. Nina rafiki yangu ameokoka ila anayo tatoo ambayo haifutiki shingoni, imemletea shida maana watu wanamuona hayuko serious bado, japo...
Replies
9
Views
493
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
127

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top