- Jun 4, 2023
- 7,609
- 26,404
- 113
Niaje?
Niende moja kwa moja kwenye swali, unajiona ina sifa za mnyama gani? Binafsi napenda sana kula nyama kama ningekuwa mnyama basi ningekuwa mnyama anayekula nyama kama Simba
Pia mtag mshikaji wako umweleze unaona yeye anafanana na mnyama gan?