Kama ungekuwa mnyama ungekuwa mnyama gani

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Mwambie antake radhi kabla cjalala kesho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,ili awe na bahati ya kupata demu kule jukwaa la wachumba,vinginevyo ndo nakua nishamjambia ushuz wa nuksi,kila atakapo gusa ni gundu linamuandama๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
mjinga mshamba ana genyenmda wote anawaza mademu tu๐Ÿคฃ alafu cha ajabu ni mod๐Ÿคฃ
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Watu wa humu ni waroho kunyama,,..
Mkuu umeona upaja tu umeshavurugikiwa akili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mm ni ME man,sema tu napenda mishangaz hatar, ndo maana nikakupa mfano wa upaja ule wa mshangaz.....
....
By the way ntake radhi boss wangu,,yan nimesikitika sana kunifananisha na mshangazi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
samahani mkuu๐Ÿ˜…
 

Poor brain

New member
Joined
Jul 3, 2023
Messages
120
Reaction score
344
Points
0
Ndege angekua kundi la wanyama ningechagua kua ndege....
Ila kuwa wanyama basi ningekua wale wanyama wanaoishi kule kwenye mabarafu
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Ndege angekua kundi la wanyama ningechagua kua ndege....
Ila kuwa wanyama basi ningekua wale wanyama wanaoishi kule kwenye mabarafu
Eagle ? hawa wako very strong
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113

Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financiรจre Richemont...
Replies
6
Views
660
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL), yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Tanzania, ilizindua Skyleader 600 kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania jijini Dar es Salaam. Ndege hizi ni za gharama nafuu,zinatumia mafuta kwa uchache, na gharama za matengenezo ni nafuu...
Replies
11
Views
434
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
294

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom