Kama ungekuwa mnyama ungekuwa mnyama gani

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

dronedrake

New member
Joined
Jun 5, 2023
Messages
611
Reaction score
2,003
Points
0
Aliwe na simba

Vegas Byron GIF by NASCAR
 

mmash

New member
Joined
Jun 26, 2023
Messages
37
Reaction score
101
Points
0
Niaje?

Niende moja kwa moja kwenye swali, unajiona ina sifa za mnyama gani? Binafsi napenda sana kula nyama kama ningekuwa mnyama basi ningekuwa mnyama anayekula nyama kama Simba

Pia mtag mshikaji wako umweleze unaona yeye anafanana na mnyama gan?
Aisee mm ningechagua kati ya farasi na punda,maana naona kama wanaenjoy sana kwenye kungonokaπŸ˜‚,ile pipe unazamisha hadi kwenye maini kudadeki,
By the way.... thanks for the invitation Mangi,huku kumenoga blaa
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Aisee mm ningechagua kati ya farasi na punda,maana naona kama wanaenjoy sana kwenye kungonokaπŸ˜‚,ile pipe unazamisha hadi kwenye maini kudadeki,
By the way.... thanks for the invitation Mangi,huku kumenoga blaa
haha karibu sana, pia usisite kutupa mawazo jinsi ya kuboresha
Ila kuna mwamba hapo anataka kuwa pundamiliaπŸ˜€πŸ€£
Ana hatari sana
 

Omo baba lowo

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 5, 2023
Messages
383
Reaction score
946
Points
0
Hawa wanaitwa big foot. Wanasadikika kuwa wana akili na kuzingumza na ni supernatural beings.

Sijui kama una idea na story yakeπŸ˜€
Aisee sikuwa nafahamu kabisa mkuu,

Kumbe kazi kweli kweli πŸ˜ƒ
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Hawa wanaitwa big foot. Wanasadikika kuwa wana akili na kuzingumza na ni supernatural beings.

Sijui kama una idea na story yakeπŸ˜€
Weka story
 

mmash

New member
Joined
Jun 26, 2023
Messages
37
Reaction score
101
Points
0
wewe ni ke??
πŸ˜‚πŸ˜‚Watu wa humu ni waroho kunyama,,..
Mkuu umeona upaja tu umeshavurugikiwa akiliπŸ˜‚πŸ˜‚
Mm ni ME man,sema tu napenda mishangaz hatar, ndo maana nikakupa mfano wa upaja ule wa mshangaz.....
....
By the way ntake radhi boss wangu,,yan nimesikitika sana kunifananisha na mshangaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_2023-06-28-01-06-39-061_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2023-06-28-01-06-39-061_com.android.chrome.jpg
    290.8 KB · Views: 1

mmash

New member
Joined
Jun 26, 2023
Messages
37
Reaction score
101
Points
0
nyege mbaya mdogo wangu huyu @mmash ni dume 🀣
njoo kule kwenye jukwaa la kutafuta wachumba mapema kabla hujafa na sonona
Mwambie antake radhi kabla cjalala keshoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,ili awe na bahati ya kupata demu kule jukwaa la wachumba,vinginevyo ndo nakua nishamjambia ushuz wa nuksi,kila atakapo gusa ni gundu linamuandamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar threads

Tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa ndiye mtu wa pili kwa utajiri barani Afrika kulingana na orodha ya hivi punde ya Forbes . Dangote aliachwa nyuma ya bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert, ambaye ni mwenyekiti wa kampuni ya bidhaa za kifahari ya Uswizi Compagnie Financière Richemont...
Replies
6
Views
660
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL), yenye makao yake makuu mjini Morogoro,Tanzania, ilizindua Skyleader 600 kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Wazalishaji Tanzania jijini Dar es Salaam. Ndege hizi ni za gharama nafuu,zinatumia mafuta kwa uchache, na gharama za matengenezo ni nafuu...
Replies
11
Views
434
Wakuu kwema? Najua walimu niwatu wanaopaswa kupewa heshima kwakua wametutoa ujinga mwingi.. Ila kuna mambo ambayo nikiwa nasoma walimu walikua wanafanya nikifikiria kwa sasa naona kama walikua na akili za kitoto au walizingua... je kuna jambo walimu wako walizingua? Au kuna utoto walimu walikua...
Replies
13
Views
385
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
294

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom