KWA UHITAJI WA UKUMBI KWA AJILI YA SHEREHE MBALIMBALI KARIBU BARACUDA HALL FOR EXECUTIVE SERVICES.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Habari wanakijiji...

Napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha mwanakijiji mwenye uhitaji wa ukumbi kwa ajili ya sherehe mbalimbali kama WEDDINGS, SEND OFF, KITCHEN PARTIES & OTHER CEREMONIES at BARACUDA HALL FOR EXECUTIVE SERVICES...

Ukumbi unapatikana Dar Es Salaam, Tabata Baracuda uelekeo wa kwenda vingunguti ni barabarani kabisa na unafikika pasipo tatizo lolote, Pia parking ipo kubwa sana na ulinzi ni mkali sana kwa ajili ya usalama wa wageni na mali zao...

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali nitaarifu PM na utapata mwongozo kamili kulingana na maswali yako..

Ahsanteni na Karibuni Sana...
41288F56-AAAB-45B5-BB0D-F36E51390B53.jpegD36B8C58-236F-47C9-8367-CACD412C5DC5.jpeg17E05066-2B9B-4D5C-965B-E323FE1BC83A.jpegF694A193-7693-457A-976C-D191A1F80CFB.jpeg5DDE5FE7-8FE9-4DF5-92E6-EE264E6313DB.jpeg6C841A0D-2A14-46E5-B056-E8DB761853C2.jpeg
 
Last edited:

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Ulikuwa either jela au umeibiwa simu mbona hukuonekana kijiji?

Hakimu alikuwa wapi kijana
Dah! Jela tena 🤣🤣🤣 nilisafiri kidogo na ilikua safari ya ghafla ndio maana sikuwa na matumizi ya mitandao kwa kipindi hicho nikiwa safarini...Ilinilazimu kuweka kando matumizi ya simu hacha upande wa chatting labda niongee na mtu kwa calls za kawaida kwakuwa ilikua ni mambo ya vikao kwa sana...
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Dah! Jela tena 🤣🤣🤣 nilisafiri kidogo na ilikua safari ya ghafla ndio maana sikuwa na matumizi ya mitandao kwa kipindi hicho nikiwa safarini...Ilinilazimu kuweka kando matumizi ya simu hacha upande wa chatting labda niongee na mtu kwa calls za kawaida kwakuwa ilikua ni mambo ya vikao kwa sana...
Uliibiwa simu sio bure🤣 unatumia simu ya shemeji kama katkit?
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Ulikuwa either jela au umeibiwa simu mbona hukuonekana kijiji?

Hakimu alikuwa wapi kijana
Akikosekana humu kunakuwa kama tumefiwa hakuna hata wa kutuchangamsha na matukio ya hapa na pale

Nikajua jamaaa yupo jela au itakuwa kaibiwa simu au vyote kwa pamoja
Au kashakufa
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Akikosekana humu kunakuwa kama tumefiwa hakuna hata wa kutuchangamsha na matukio ya hapa na pale

Nikajua jamaaa yupo jela au itakuwa kaibiwa simu au vyote kwa pamoja
Au kashakufa
Dah! Nimekufa tena...🤣🤣🤣
 

AlmightyGod

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,335
Points
0
Hakimu nashukuru kwa kuniombea uzima naamini nitadumu sana hadi pale kijiji forum itakapotimiza umri wa mtu mzima 🤣🤣🤣
 

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
124
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
391
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
496

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom