Maisha Haya Mwaka unaisha malengo hayaja kamilika

Anonymous

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
515
Reaction score
143
Points
0
Wadau maisha magumu sana alafu hayako fear kabisa my plans are not completed na bado jau sana yani kero

Moja ninahamu sana kuhama home kozi sasa too much kuonana poa

Kupata kazi

Hebu sema na wewe nini ambacho hakijakamilika mwaka huu na mwaka ndo unaisha
 
Wadau maisha magumu sana alafu hayako fear kabisa my plans are not completed na bado jau sana yani kero

Moja ninahamu sana kuhama home kozi sasa too much kuonana poa

Kupata kazi

Hebu sema na wewe nini ambacho hakijakamilika mwaka huu na mwaka ndo unaisha
Bado mda mbona, mimi namshukuru Mungu kwakuwa nlipanga jambo nmelipata zaidi ya matarajio.
 

Similar threads

Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha; Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa Katika maisha...
Replies
12
Views
392
Maisha ni safari ya kusisimua inayojaa changamoto, furaha, na mafunzo. Kila hatua inafungua milango mipya ya uzoefu, na kila siku ni fursa mpya ya kuchora njia yetu. Kuanzia Mwanzo Tunapoanza safari ya maisha, tunaletwa ulimwenguni kama kurasa tupu za kitabu. Kila tukio, kila uhusiano, na kila...
Replies
2
Views
441
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada. Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo? Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako? Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru...... Yesu alipoinua ile mikate 5...
Replies
6
Views
402
habari zenu hii ni true story by manenge. leo nimeona niwape japo kwa kirefu sana kuhusu hii kazi yangu ya professional tour guide,kwa majina yangu nileyepewa na wazazi wangu naitwa raymond joseph mushi,nimzaliwa wa machame. nimeona ni share nanyi ilimjue kuhusu hii kazi ambayo haina...
Replies
43
Views
1K
Replies
12
Views
260
Back
Top