- Jun 4, 2023
- 7,609
- 26,404
- 113
Nimekuliz mbona unafanana kama mendeKivipi mkuu,
Nimekuliz mbona unafanana kama mendeKivipi mkuu,
masikhara hayobuibui
nikiona buibui lazima nitafte kiatu nimbutue ndo napata amanimasikhara hayo
Mende tena, sijakuelewa hapoNimekuliz mbona unafanana kama mende
OHHH BROTHER BERNAD EHOOOOOOOOOOObuibui
Kwanini wanawake mnaogopa mende?Mende angekua mnyama ningeeka hapa ila tu ni mdudu na panya aiseeh hawa viume hai naogopa na siwapendi sana..
Yaan sijui tuuu...Kwanini wanawake mnaogopa mende?
Hao wadudu kwetu supuYaan sijui tuuu...
Nikiletewa wameiva naweza kula ila sio wanatembea.. Woiiii hapanaaaaHao wadudu kwetu supu
Atatokaje bila kumsumbuamimi nyoka, tena sio tu namuogopa, ninamuheshimu sana yani yule kiumbe. Akiingia ndani siingii mpaka atoke.
Huo uthubutu wa kumsumbua ndo sina kabisa kwa jinsi namuheshim naona kama ntamkosea. Ntawalipa watu wanisaidie.Atatokaje bila kumsumbua
Mimi napambana naeHuo uthubutu wa kumsumbua ndo sina kabisa kwa jinsi namuheshim naona kama ntamkosea. Ntawalipa watu wanisaidie.
MhHakuna hakuna,
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.