Ni kwa neema za MUNGU tu

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Wapendwa nawasalimu.🙋
Nakupongeza kwa kuamua kufungua na kusoma uzi huu,
Karibuuu...

Ni mambo mengi mabaya na magumu na yakukatisha tamaa yametupata, hatungekuwa hapa leo kama sio kwa msaada wa Mungu.

Uwezo huo wa kuweza kumudu hali ngumu na mbaya katika maisha na kuweza kusimama, baada ya yote uliyopitia ni neema ya Mungu tu wala si kitu kingine.

Mambo ambayo yaliwafanya watu wengine wapoteze akili, wajiue, wapate presha, kwako imekua tofauti bado umesimama,

Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo na kushukuru kwa sababu ukiangalia maisha yako utagundua kuwa Mungu amekuwa akikupendelea kila siku.

Kwa kiwango hicho ulipo, Mungu amekubariki. Anza kumshukuru na kumshukuru.
 

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
115
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
390
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
496
Back
Top