Siku ya kwanza kufumbua getto

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Wadau maisha ya nyumbani magumu nataka ni hamie kwangu bado sina kazi ila najitafuta nitapata ili mwezi wa 10 niingie evening shift huku natafuta pesa zangu

Kwanza sipendi kupangiwa chakula (silagi nyama na sipendelei mboga za majani)

Nataka nilale kwangu pumzi itaingia vizuri nipike nitakavyooo nirudi na kuondoka nipendavyoo

Hebu nipeni bajeti sasa nikipata sh ngapi hivi naenda kukaaa home kwangu

Kwenye hesabu zenu mimi sina demu wala sitakuja kuwa nae hivyo msionganishe
 
Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Ukija gheto unavuta mtoto mmoja mzuri anakuja kukupikia.

Watoto wa kidugala kule posta kuna chumba hakima mpangaji ? Kijana anataka kukaa gheto
View attachment 1308
Kijana ataweza kweli aje nimpe single room ila yenye choo na jiko ndani pamoja na kidining cha kuzugia kikubwa awe na mia mbili hamsini , ruksa kuvusha muda wowote , parking ipo kabisa
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kijana ataweza kweli aje nimpe single room ila yenye choo na jiko ndani pamoja na kidining cha kuzugia kikubwa awe na mia mbili hamsini , ruksa kuvusha muda wowote , parking ipo kabisa
Hakimu hili gheto linakufaa. Kwa mwaka 3M
Kuna watoto wa kihindi hela yako itarudi mapema sana😃
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Wadau maisha ya nyumbani magumu nataka ni hamie kwangu bado sina kazi ila najitafuta nitapata ili mwezi wa 10 niingie evening shift huku natafuta pesa zangu

Kwanza sipendi kupangiwa chakula (silagi nyama na sipendelei mboga za majani)

Nataka nilale kwangu pumzi itaingia vizuri nipike nitakavyooo nirudi na kuondoka nipendavyoo

Hebu nipeni bajeti sasa nikipata sh ngapi hivi naenda kukaaa home kwangu

Kwenye hesabu zenu mimi sina demu wala sitakuja kuwa nae hivyo msionganishe
andaa 1M tu
 
Similar threads

Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
557
Dodoma. Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa wito kwa wananchi wote wanaomiliki au wanaouza mavazi, viatu, mabegi na vitu vinavyofanana na sare za majeshi nchini kuvisalimisha ndani ya siku saba kuanzia leo. Wito huo umetangazwa leo Alhamisi Agosti 24, 2023 jijini Dodoma na Kaimu...
Replies
3
Views
1K
  • Question Question
Watu wengine wanafikiri kwamba si lazima kuota kila siku. Wengine wanasema kwamba kuoga kila siku nyingine (au hata vipindi virefu) ni sawa. Nani yuko sahihi na ni nani anayenyonya tu? Tabia ya mtu ya kuoga hutegemea Mazoezi. Ikiwa tunafanya mazoezi kwa nguvu au kucheza michezo kila siku...
Replies
7
Views
417
Wakati unakuja ambao mtu ataweza kujua siku yake ya kufa na sababu ambayo itampelekea kifo. Kadiri sayansi inayokua kwa kutumia taarifa kutoka kwenye mwili wa mwanadamu kama umri wa kuishi na afya ya muhusika utatoa maelekezo kuhusu siku yake ya kufa. Leo hii tumeona wagonjwa wa saratani na...
Replies
19
Views
228
Mwisho wa dunia unaweza kuja kwa namna nyingi. Baadhi ya nadharia chache za mwisho wa dunia ambazo watu wamekuwa wakizungumzia, mfano: Kiama: Kutokana na taarifa nyingi za vitabu vya dini inaaminika kabisa kuna siku ya kiama na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Bomu la nuclear: Kama...
Replies
22
Views
348

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom