- Joined
- Jul 8, 2023
- Messages
- 1,320
- Reaction score
- 2,995
- Points
- 0
Habari zenu wangu..
Moja kwa moja natiririka kwenye uzi kama hivi,dunia yetu imepita nyakati mbalimbali za kukua,zamani kuna vitu mtu kuwanavyo ilikuwa deal sana,tena bei na uthamani ulikuwa wa hali ya juu,vitu hivyo walimiliki matajiri na watu wenye pesa zao,
Sasa napenda kuwaletea vitu ambavyo vilikuwa muhinu sana nyakati zile.
1.REDIO ZA CASETTE(PANASONIC)
Hizi redio zilikuwa kiboko sana,nakumbuka zilikuwa na amplifier,mziki wake ulikuwa mkubwa tena wa maana,nakumbuka mzee wangu alinunua moja toka akiwa bachelor sisi tulipozakiwa tukaikuta,kipindi kile zilitoka kwaya ya hakuna mungu kama wewe aisee mziki ulikuwa mnzuri sana.
Majirani walikuwa wanakodisha kwa ajili ya shughuli zao kama ubarikio,hata harusi nakumbuka mjomba wangu ubarikio wake redio iliyotumika ilikuwa casette.
2.BAISKEL ZA PHONEXIC
Baiskeli za phoenix zilikuwa ndo usafiri wa maana,hizi zilitoka china nakumbuka 1998 mjomba ndo mtu pekee aliyekuwa anamiliki machame kijijini tu,watu walimpa respec kwa sababu anamiliki phoenix,ilikuwa ni ghali kuwa nayo.
3.VIATU VYA OLD STAR.
Hivi viatu ni one of vaforites shoes in my life navikubali sana,mama alinunuliaga moja miaka ya 2001nakumbuka ndo mara ya kwanza kuvaa kipindi tunaishi soweto kotasi kipindi hicho group la hiphop la nako 2 nako ndo lilikuwa linatamba basi nikawa navivaa jamaa walitaka niwauzie nikagoma,wakaniibia viatu vyangu nililia sana.
Je kitu gani kilikuwa cha maana sana enzi hizo kwenu??