Unafanyaga nini unapokua peke yako?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Jambo Afrika!
Unapokuwa mwenyewe geto, nyumbani unafanya nini?

Wengi wanapenda kucheza mziki, wengine kusikiliza mziki, wengine kiwatch muvi, wengine kucheza game....

Wengine Wanapendelea kukaa uchi, wengine wanapenda kupika pika na kulala kula..
Wewe ukiwa alone unapendelea kifanya nn?
 
Napenda sana kusoma stories online. Hapa nilipo kuna stories kali kali nazosoma online

Mbali na hivyo napenda pia kucheki movies. Muda mwingi naokuwa nyumbani ni mda wa mapumziko
 

Similar threads

Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
Hili ni swali ambalo nimeulizwa ila nimeona nije niombe msaada kwa mabisnez mani wa KF Ukizingatia mtu mwenyewe hawezi kutembea all the time mtaani anatafuta tu njia ya passive income Ushauri wako Gily Kondeni0112
Replies
1
Views
417
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
704
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa...
Replies
16
Views
429
Moja kwa moja. Nimeona clip na utani unasambaa kwa walimu wa Mathe(hesabu) hapa bongo kauli inayotrend kuhusu wao ni "Mwalimu wa Mathe hapa ni wapi ? ". Kwa nini asiwe Mwalimu wa Kiswahili , geography ,physics ,civics , Chemistry nk. watu wawashambulie walimu wa Mathe pekee na kutoa taswira...
Replies
10
Views
482
Back
Top