Usioe au kuolewa kwa sababu hizi....utajuta

Allan

New member
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
24
Reaction score
67
Points
0
1. Usioe kwasababu huyo mwenzi wako mmekutana katika biashara zinazofanana.. kwahiyo ukahisi kwamba kwakuwa biashara anayoifanya na wewe unaifanya basi mtakuwa na Ndoa nzuri! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya biashara
2. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mpenzi wako mnasoma KOZI sawa kwahiyo ukahisi mtakuwa na Ndoa njema! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya kozi na elimu
3. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mwenzi wako anashabikia timu unayoshabikia!
Na ukahisi hata kwnye ndoa itakuwa njema.. kwasababu Ndoa ni zaidi ya mpira na michezo
4. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mwenzi wako mnasali KANISA /MSIKITI mmoja kwahiyo ukahisi mambo yatakuwa fresh... Kwasababu Ndoa ni zaidi ya kusali
5. Usioe au kuolewa kwasababu ya SHEPU ya mwenzi wako kwasababu huwezi jua kitakachotokea huko mbele kwenye ndoa!..

6. Usioe au kuolewa kwasababu Wazazi wa mwenzi wako na wako ni marafiki!
Unaoa wewe sio wao

Kwahiyo NDOA INABAKI KUWA NDOA...
"IHESHIMIWE NA WATU WOTE!" Ipewe heshima yake.. sio kukurupuka
Kwasababu hiyo INGIA KWENYE NDOA KWASABABU:-
1. Unampenda na yeye anakupenda kwa dhati... UPENDO ndio KIINI...
2. Oa au OLEWA kwasababu umefikia wakati SAHIHI wa kufanya hivyo..
 
Kuna mwamba alipata demu anashangilia time yake akafurahi sana. Siku moja wanaangalia mechi wanamuona Mayele anathema, jamaa kumuangalia demu wake anaona anapandisha hisia macho kakodoa kwenye TV.

Jamaa akawa Ana notice kila Mayele akitetema demu wake anabaki hoi. .
 
😂😂😂😂😂😂😂
 
Ungoungoungooooooo huo
 
Daaah😂😂😂
 
1. Usioe kwasababu huyo mwenzi wako mmekutana katika biashara zinazofanana.. kwahiyo ukahisi kwamba kwakuwa biashara anayoifanya na wewe unaifanya basi mtakuwa na Ndoa nzuri! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya biashara
2. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mpenzi wako mnasoma KOZI sawa kwahiyo ukahisi mtakuwa na Ndoa njema! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya kozi na elimu
3. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mwenzi wako anashabikia timu unayoshabikia!
Na ukahisi hata kwnye ndoa itakuwa njema.. kwasababu Ndoa ni zaidi ya mpira na michezo
4. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mwenzi wako mnasali KANISA /MSIKITI mmoja kwahiyo ukahisi mambo yatakuwa fresh... Kwasababu Ndoa ni zaidi ya kusali
5. Usioe au kuolewa kwasababu ya SHEPU ya mwenzi wako kwasababu huwezi jua kitakachotokea huko mbele kwenye ndoa!..

6. Usioe au kuolewa kwasababu Wazazi wa mwenzi wako na wako ni marafiki!
Unaoa wewe sio wao

Kwahiyo NDOA INABAKI KUWA NDOA...
"IHESHIMIWE NA WATU WOTE!" Ipewe heshima yake.. sio kukurupuka
Kwasababu hiyo INGIA KWENYE NDOA KWASABABU:-
1. Unampenda na yeye anakupenda kwa dhati... UPENDO ndio KIINI...
2. Oa au OLEWA kwasababu umefikia wakati SAHIHI wa kufanya hivyo..
Nakubaliana na wewe ila naomba kuuliza vipi tuliofumaniwa na tukalazimishwa kuoa watoto wao zinadumu au nitaachwa any time ?
 
Hahaha ha 😆 matumaini yapo ila sasa kakupendea nini? Hapo ndipo jibu lako liko
 
Similar threads

Niaje! Kwanza nianze kwakusema siwabagui watu wenye vvu, kila mtu anaweza kuoa au kuolewa kama aki bahatika kupata mwenza. 1 kwa 1 kwenye mada 👇 Je unaweza kuoa au kuolewa na mtu aliye na VVU? Kumekua na ongezeko la ndoa za mtu mmoja akiwa HIV+ na mwingine HIV- Hii inatokana na elimu inayo...
Replies
13
Views
426
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
115
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
390
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416
Back
Top