Vitu tulivyotishwa navyo..

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Habari..
Kipindi cha utoto tumepitia mambo mengi tena yalioshangaza sana,tulitishwa na waliotuzidi umri pia tulitishwa na wazazi mpaka na walimu.
Jambo la kawaida kipindi kile cha utoto kwetu lilionekana la kutisha sana.
Hapa nimeweka mambo yote waliokuwa wanatutisha nayo kama kuna nililosahau u aweza kuirodhesha hapa..
**kumeza bigiji kwamba itajisokota kwenye utumbo.
**kunyooshea kidole kaburi kwamba mtu atakufa kwenu.
**kukojoa makaburini kwamba utakufa
**kumeza mbegu ya chungwa au mapela kwamba yataota kichwani
**kupiga miruzi usiku kwamba unaita majini
**kutembea makuburini kwamba utaona maiti ikifufuka.
**kuiba sadaka kanisa kwamba mkono utakatika

Hayo ni baadhi u aruhusiwa kuandika mengine ya zamani hapa
 

Similar threads

Nakusalimu mwanaKF, ninafurahi kwakua umeamua kusoma bandiko hili... karibu sana, najua utapata kitu... Luka 17:11-14 Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya. Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye...
Replies
3
Views
257
Habari, Leo kwa mbali mtaa ninaoishi nilisikia speaker wakisema kutakua na mnada ila sikutilia maanani, Baada ya masaa mawili nadhani ndio mnada wenyewe ukawa unafanyika kuuza vitu vya huyo mtu baada ya kushindwa kulipa deni la bank, Nimekaa nimetafakari sana nikabaki na maswali , hivi ukiwa...
Replies
43
Views
476
Katika maisha tunasurvive kulingana na wingi wa hekima tuliyo nayo; Kwakua hekima ni mali ya thamani zaidi ambayo unapaswa kupata kila siku. Mithali 16:16 Si afadhali kupata hekima kuliko dhahabu? Naam, yafaa kuchagua ufahamu kuliko fedha. Juma pili njema
Replies
2
Views
231
Habari zenu wangu.. Moja kwa moja natiririka kwenye uzi kama hivi,dunia yetu imepita nyakati mbalimbali za kukua,zamani kuna vitu mtu kuwanavyo ilikuwa deal sana,tena bei na uthamani ulikuwa wa hali ya juu,vitu hivyo walimiliki matajiri na watu wenye pesa zao, Sasa napenda kuwaletea vitu...
Replies
6
Views
291

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom