Wewe ni nani?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
MIMI ni nani? ili swali Yesu alilijibu vizuri, 👇👇

Mimi ni Mkate wa Uzima, Mimi ni Neno la Uzima; Mimi ndimi Roho wa Kweli; Mimi ni Uzima;
Mimi ni Mchungaji Mwema,
Mimi ni nuru ya ulimwengu,
Mimi ndio njia kweli na uzima..

Je mwenzangu wewe ni nani? kumbuka wewe sio jina lako, muenekano, wala cheo chako...
 

Similar threads

Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie...
Replies
4
Views
532
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
  • Question Question
Watu wengine wanafikiri kwamba si lazima kuota kila siku. Wengine wanasema kwamba kuoga kila siku nyingine (au hata vipindi virefu) ni sawa. Nani yuko sahihi na ni nani anayenyonya tu? Tabia ya mtu ya kuoga hutegemea Mazoezi. Ikiwa tunafanya mazoezi kwa nguvu au kucheza michezo kila siku...
Replies
7
Views
417
Mithali 4:18 18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu. Nuru inabidi ipelekwe gizani ili iangaze. Uthibitisho kwamba wewe ni mtoto wa Mungu ni uwezo wa kuangaza nuru yako hata katikati ya wasio amini na katika hali za giza. Acha nuru yako ya...
Replies
17
Views
437
Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu. Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
Replies
63
Views
2K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom