Wito kwa serikali Kisungura kifungiwe

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,118
113
Leo bwana nilikua busy from morning mpaka nakuja kushtuka ninywe chai saa 6 na 30 na hapo nakipindi saa 7 ikabidi nichague moja niache moja from home to chuo kwa muda huu wa mchana ni less than an hour

Ikabidi niache chai ni wai chuo nikapanda road kusubiri bajaji kweli ikaja nauli buku hapo kupanda kwenye siti nakutana na kifuniko cha Kisungura nikasogeza jikakaa nipo peke yangu jamaa na muona anasinzia kabisa mpaka bajaji inaenda kushoto kumuangalia jicho nyanya kabisa

Nikamwambia oya mbona unasinzia kama vipi nishushe akajibu kilevi sana "nikushusheee haina noooma"

Nikashuka yeye akaendelea ni mekaaa mara limekuja fuso limekimbia kishenzi limenipitia na mavumbi yani jau jau nikapanda bajaji nyingine plus kupanda gari nimesimama niwahi pindi alafu nafika madam hajafika

Hapa nimenunua energy drink huku nakumbuka maandazi yangu home

🙆🙆🙆🙆
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,019
22,617
113
Huwa inaitwa smart Gin aka Smart kisungura. Niliona jamaa anakunywa maji kwenye kopo anajilamba nikawaza kumbe maji ni matamu hivi. Kumkaribia tu nikahisi harufu ya pombe aisee sikupanda pikipiki yake. .
 

Hakimu

Immortal Village Hero
Staff member
Jun 3, 2023
2,637
6,118
113
Huwa inaitwa smart Gin aka Smart kisungura. Niliona jamaa anakunywa maji kwenye kopo anajilamba nikawaza kumbe maji ni matamu hivi. Kumkaribia tu nikahisi harufu ya pombe aisee sikupanda pikipiki yake. .
Aaa tena bodaboda mzee anaweza jiona yupo anaendeesha chopa
 

Similar threads

Habari ndugu zangu . Nikiwa hapo ulipokuwa baada ya mimi kuja kufanya umbea wangu nilikuonea huruma sana mzee mwenzangu . Mdomoni unaonekana mwamba ila sura na sauti vilinionesha kuwa unajuta ila hautaki kukubali . Siku kadhaa ulizokaa kaka yangu umetoka umekongoroka kama sio wewe . Aisee...
Replies
15
Views
452
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
83
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
379
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
383
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
415
Top Bottom